RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Haya ccm ni ile ile NRNEZipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Hapo july july bado mbona!!?Sasa ni 29 TU!!Ipatikane sadaka ya kuteketezwa tu.
Mzalendo hata bungeni hakualikwa, is it Normal?Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Kama ni kweli hii imetengenezwa TU!itamuibua Mlutheri wa ziwani Kwa sasa kajifanya mwamba wa kaskazini akitaka upiga meza dodoma!Tetesi ni uongo 🐼
Kumbe!!?aiseh!Mzalendo hata bungeni hakualikwa, is it Normal?
Upuuzi mtupuZipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Na huyu Agosti!!Upuuzi mtupu
Jakaya alivunja september
Kama huna kazi ya kufanya fanya usafi wa kinywa na meno
Mpaka Tarehe 03 Tutona/Kusikia Mengi Sana SanaIpatikane sadaka ya kuteketezwa tu.
Tetesi elewa tetesi!!Unamchongea ili wamuue
Kijana wa Oscer 😂😂Kama ni kweli hii imetengenezwa TU!itamuibua Mlutheri wa ziwani Kwa sasa kajifanya mwamba wa kaskazini akitaka upiga meza dodoma!
Alikuwepo Bungeni mkuuMzalendo hata bungeni hakualikwa, is it Normal?