Wanaweza anzisha tiffu TU wenyewe Kwa wenyewe kuonyesha yamekorogeka kama zama za edo vs Niguse ninuke vikamuibua hayati chuma!
Naomba niungane na wewe..all these crap is total bullshit ..just wastage of time ...nchi Ina wenyewe ila wanapokezana kula awe mafia ama mzalendo..ni mkataba waliosaini huko nyuma kwamba wataila nchi vizaz vyao vya vizaz vyao tu...wengine mtakula makombo...so ni kujichosha big-time to follow these bullshit issues koz hawana msaada wowote kwa struggling mtanzania or maskinni ima the boy au? anyway yeyote na awe tu, coz hawezi kuniletea chakula mezani.
Mna maana urojo hauuziki auZipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Vipi vikao vya IDU mnahudhuria auZipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Usifananishe baka na yeyote yule. Chombo kinaheshimika na kuogopwa na wanasiasa hicho.CCM ni zaidi ya Mabaka.
Elewa, CCM imewaajiri hao mabaka. Hivyo nguvu Yao ni kama mamba nje ya maji
Alikiwepo na alitambulishwa endeleeni na Ramli nyingineKumbe!!?aiseh!
Hakuna mtu wa uachia ngazi, na hao mabaka wao ni mshahara tu hakuna namna.Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Achana na habari za vijiweni, huoni ulichoandika ni utoto. Na marais wengine ambao hawakuvunja nini kilitokea. Huo ni utaratibu wa kawaida.Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Usifananishe baka na yeyote yule. Chombo kinaheshimika na kuogopwa na wanasiasa hicho.
Inaanzaga hivi hivi!halafu unashangaa mwingine ambae sio mlengwa anakua Ili ku divert attention fulani!!Achana na habari za vijiweni, huoni ulichoandika ni utoto. Na marais wengine ambao hawakuvunja nini kilitokea. Huo ni utaratibu wa kawaida.
Sio tetesi hizo ndio za mtaani. Jambo anasahau hata yeye alikikalia kiti kwa utaratibu anacho ng'ang'ania nin mbona makamu kajipumzikia amesahau mila za kiti ukiking'ang'ania unakikosaZipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Kama unaamini Bunge la 12 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania halijavunjwa na kinachosubiriwa ni Tamko Rasmina hutaki kujifunza, basi jua wewe ni mjinga na mpumbavu!Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!