Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

Sio tetesi hizo ndio za mtaani. Jambo anasahau hata yeye alikikalia kiti kwa utaratibu anacho ng'ang'ania nin mbona makamu kajipumzikia amesahau mila za kiti ukiking'ang'ania unakikosa
Bora hata wewe umeandika walau huwa nasoma Kwa nukta maandishi yako!!

Nashangaa watu wanabeza tetesi wakati ndizo zilitufikisha march 17 ,2021!

Tetesi ni hatari sana Kwa mstakabali wa taifa !!
 
Hilo liko wazi, mbeba kisanduku yuko nyuma. Aliyetangulia ni msafisha njia tu ili kupunguza foreni kukatisha pale uhuru medical centre tokea mitaa ya Jakaya KCC.
 
Raisi wa nchi n mkuu kuliko yeyote yule ndani ya nchi anamamlaka kubwa mno ko uu n upuuzi kama upuuzi mwingne she is in power akitaka anatawala anavotaka tukubaliane na ukwel kuwa yeye ndo raisi full stop.....[ tetesi zenu ni upuuzi]
Iko vile bandugu !
👍🙌
 
Naomba niungane na wewe..all these crap is total bullshit ..just wastage of time ...nchi Ina wenyewe ila wanapokezana kula awe mafia ama mzalendo..ni mkataba waliosaini huko nyuma kwamba wataila nchi vizaz vyao vya vizaz vyao tu...wengine mtakula makombo...so ni kujichosha big-time to follow these bullshit issues koz hawana msaada wowote kwa struggling mtanzania or maskin
Duh 🙄 !!
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
Kwani kuna vikao vingine vitaendelea baada ya kusitisha shughuli za bunge juzi June 27?
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
Kikubwa tusichotaka watanzania ni hawa nyumbu na vibaraka vya ubelgiji kuchukua nchi, mengine yote poa tu.
 
Back
Top Bottom