CCM is damaged beyond repair. Hakuna mwenye nafuuNchimbi si ndo walewale?
Alikuwepo tena alishangiliwa sana tuHivi mgombea mwenza Bungeni alikuwepo? Maana sikusikia au nilipitiwa.
Pamoja na "usahihi" wa tetesi hizo ulizozisikia kuwa na mashiko; lakini usijifanye kuwa KIZIWI na KIPOFU wa kutoona kazi kubwa ya "NO REFORM NO ELECTION"Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!
Karibuni!!
Najua mkuu najua!!Pamoja na "usahihi" wa tetesi hizo ulizozisikia kuwa na mashiko; lakini usijifanye kuwa KIZIWI na KIPOFU wa kutoona kazi kubwa ya "NO REFORM NO ELECTION"
hayo mambo ya huko ndani ya CCM kwenyewe yangemalizwa na wao wenyewe huko huko ndani ya chama, bila ya kuhusisha BUNGE.
Mazingaombwe yanayotengenezwa tokea sasa hadi August ni matokeo ya "NO REFORM, NO ELECTION"; hili lipo wazi na huwezi kuligeuza lionekane kivingine.
Kulikuwa na sababu zipi, na sasa kuna zipi?Upuuzi mtupu
Jakaya alivunja september
Kama huna kazi ya kufanya fanya usafi wa kinywa na meno
Kwanza nikutahadharishe mkuu 'RESILIENT KATO'; haya maneno ya "...halafu mdomo wa msingida ukabwatuka..."; achana nayo haya, hayaongezi thamani yoyote tena katika kujuwa uwezo alionao Tundu Lissu; hivi hukumbuki ni maneno hayo hayo yaliyokuwa yakitumiwa sana wakati akigombea uenyekiti wa chama chake?Najua mkuu najua!!
Kama matokeo ya Rais yakihojiwa mahakanani Kwa mujibu wa tetesi kwamba Kuna badiliko la kipengele Cha katiba kupelekwa Bungeni na kweli likapita!
Ina maana Msingida akisimama na mkojani halafu mdomo wa msingida ukabwatuka kama kawaida yake "msichague mama was kizanzibari anaeuza Mali za tanganyika"ccm tumekwisha!!sasa makada itabidi warudi chimwaga pale watafute mtanganyika kutoka Kanda pendwa has ya ziwa ili kuokoa jahazi na hapo nayaona majina haya :-Mpina,Gwajima,Makonda n.k Ili kunadi hayati kupitia vinywa vyao na kukiokoa chama!!
Nawaza na kuwazua!!
Kwani shida ni nini?Kama matokeo ya Rais yakihojiwa mahakanani Kwa mujibu wa tetesi kwamba Kuna badiliko la kipengele Cha katiba kupelekwa Bungeni na kweli likapita!
Waumini wa Gwajima ni majasiri sanaTusiwe wavivu kufikiri..Bunge kuhairishwa ni jambo la kawaida na lishawai tokea..
Weken nguvu kwenyw reforms na kupanga maandamano ambayo kwa nilichokiona leo pale kwa waumini wa Gwajima kama wananchi tutajitokeza kwa wingi tutashinda na kuwazidi nguvu..
Inawezekanaaaaa....#sirininamba#
Hao nilio wa mention ni pale mnyukano ukizidi halafu wakaona tukose wote ndipo plan B ikaja!!Kwanza nikutahadharishe mkuu 'RESILIENT KATO'; haya maneno ya "...halafu mdomo wa msingida ukabwatuka..."; achana nayo haya, hayaongezi thamani yoyote tena katika kujuwa uwezo alionao Tundu Lissu; hivi hukumbuki ni maneno hayo hayo yaliyokuwa yakitumiwa sana wakati akigombea uenyekiti wa chama chake?
Sasa kwa muda mfui alioweza kuonekana kwa wananchi, maneno kama hayo hayana maana kubwa sana kwao. (Naomba usinielewe kwamba tabia hiyo inamjengea heshima, lakini ni sifa moja mbovu ambayo waTanzania wao tayari kuiima na kuilinganisha na sifa nyingine nyingi nzuri zilizoo).
Ungebaki na hili la "makamo" ungeendelea kueleweka vizuri zaidi; lakini sasa unaoingiza hata akina Makonda; Gwajima...? Hapana!
Kwani shida ni nini?
Hilo la kuwa na "Tume Huru", iliyo HURU kweli unafikiri Bunge, hata hilo Bovu wataikataa; kwa misingi gani?
Ni kete ya mwisho ya chadema iliobakiaa hahaaInaeneaaa kwa kasi sanaaa
Ukweli ni kwamba mtakiuwa chama cha Mwalimu nyinyi wenyewe kwa kukosa ujasiri tu wa kukataa uhuni huu unaofanywa ndani ya chama kwa kutumia jina lake.Hao nilio wa mention ni pale mnyukano ukizidi halafu wakaona tukose wote ndipo plan B ikaja!!
Time huru na matokeo kuhojiwa mahakamani ni RIP Kwa chama chetu Wala sio utani kabisa!IPO wazi !Tena Kwa kipindi hiki kama akisimama huyu dhidi ya huyo aiseh it's obvious kabisa!! Labda asimame mwenzake wa huku angalau kwaweza kuwa na compromise walau Kwa awamu moja kabla tattal reforms hazijafanyika na kuipa upinzani dola!!