Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

file_00000000a19c61f7a8a31c72919aef6b.png
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
Tumia akili popote ulipo..

July July anasema inaandaliwa QUP pale kisota
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
Agombe tu, lakini waje na mabadilliko madogo ya Katiba
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
Kiuhalisia mama alipata Urais sababu ya katiba lakini litakuwa kosa kubwa kama atapata Urais kwa kuchaguliwa hana uwezo kabisa wa kuiongoza Tanzania
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
 
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!

Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?

Je tetesi hizo ni za kweli!!?

Nasikia ndio maana vikao vya kwenye lile jumba pale Dodoma havikuvunjwa rasmi ili waingie mzima mzima kwenye mtifuano wa kampeni za mchujo!!

Karibuni!!
Inasikitijsha sana
 
CCM ni zaidi ya Mabaka.
Elewa, CCM imewaajiri hao mabaka. Hivyo nguvu Yao ni kama mamba nje ya maji
Hivi tunapozungumzia "mabaka" tunazungumzia hawa ndugu zetu vinyangarika walioajiriwa huko, au tunazungumzia the INNER CIRCLE of MABAKA?

Kwa ninavyomuona yule ndugu yangu mwenye DIVISHENI FOO aliyeajiriwa huko MABAKA sidhani kama ana nguvu yoyote ya kuamua nani awe na nani asiwe! Yule ni wa KUTUMWA tu na kuvalishwa VIBUYU vya KISHOZNIGA mgongoni.

Mzee Mgaya ana taarifa zaidi: johnthebaptist Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Nyani Ngabu
 
mgombea mwenza ,bungeni hakualikwa hii sio tetesi itakuwa kweli

Msoga ni mchonganishi sana ,mama hakulijua hilo
 
Hivi tunapozungumzia "mabaka" tunazungumzia hawa ndugu zetu vinyangarika walioajiriwa huko, au tunazungumzia the INNER CIRCLE of MABAKA?

Kwa ninavyomuona yule ndugu yangu mwenye DIVISHENI FOO aliyeajiriwa huko MABAKA sidhani kama ana nguvu yoyote ya kuamua nani awe na nani asiwe! Yule ni wa KUTUMWA tu na kuvalishwa VIBUYU vya KISHOZNIGA mgongoni.

Mzee Mgaya ana taarifa zaidi: johnthebaptist Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Nyani Ngabu
Mnapenda kujifariji Kwa uzushi na ujinga 😂😂
 
Back
Top Bottom