Nasikia Mkoa wa Pwani unajiandaa kuanza Kutengeneza Simu

Viwanda sio vya wazawa, ni vya foreigners
Na Mimi najua hivi,,, jamani hivi viwanda sio vya wandengereko au wazaramu!

Ni viwanda vya wawekezaji kutoka nje ya nchi...!

Sasa sioni jambo gani la ajabu hapo kusema pwani itaanza kutengeneza simu!

Hata kama ingeanza kutengeneza magari ya umeme maadam ni viwanda vya wawekezaji kutoka nje hakuna la kustaajabisha hapo!
 
Mkoa ambao umetoa Kiongozi wa hovyo hovyo na aliyeiharibu nchi pakubwa inzweza Kweli kuwa na Watu wenye Akili Kubwa ya mpaka Kuthubutu kutengeneza Simu?
Mpaka mtu akawa kiongozi,unafikiri kufikia kiwango cha uongozi ni kazi rahisi,tena ngazi ya kitaifa na ya kimataifa.Wakati wewe ndio wa ovyo,hata ujumbe wa mtaa huna.
 
Na Mimi najua hivi,,, jamani hivi viwanda sio vya wandengereko au wazaramu!

Ni viwanda vya wawekezaji kutoka nje ya nchi...!

Sasa sioni jambo gani la ajabu hapo kusema pwani itaanza kutengeneza simu!

Hata kama ingeanza kutengeneza magari ya umeme maadam ni viwanda vya wawekezaji kutoka nje hakuna la kustaajabisha hapo!
Waajiriwa ni hao wazaramo na wendengereko.
 
Ishu sio waajiriwa ishu nani anatengeneza?!

Ujuzi na mitambo inatoka wapi?! Waajiriwa sio ishu, watapewa ujuzi na utaalamu, na sio kweli kwamba kiwanda kikijengwa pwani Basi lazima waajiriwa wawe watu wa pwani,

Kiwanda Cha Cement Cha Dangote, kule Mtwara waajiriwa wapo mpaka wasukuma kutoka Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita na Waha kutoka Kigoma! Na wengine wengi!
 
Kile kiwanda cha kutengeneza viwatilifu vya kuuwa mbu mpk leo kimya kimekufa kibudu, mnaanzisha kingine teena.
Huna unacho kijua... kiwanda hicho ni ushirikiano kati ya waCuba na Tz

Na mwaka huu wana enda waCuba kuwe keza mabilioni zaidi kuendelea mikakati zaidi ya uzalishaji nk

Labda kama una zungumzia kiwanda kingine

Pita pia ktk Page ya Balozi Polepole ujielimishe
 
Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.

Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
kwa ufahamu wangu, naamini kuna kiwanda kama viwanda vingine kimejengwa huko kwa ajili ya kutengeneza simu na siyo kwamba utengenezaji simu huo upo chini ya mwananchi wa Pwani hata 25%, hawa ni wawekezaji na muekezaji kawaida yake anangalia wapi kuna unafuu wa kupata ardhi na ukufuatilia viwanda vingi sana vipo mkoa wa Pwani ni siyo ni viwanda vya serikali ya mkoa bali ni ndugu zetu wahindi na wachina ndio kwa asilimia kubwa wamejenga kule hivyo viwanda..
 
Huna unacho kijua... kiwanda hicho ni ushirikiano kati ya waCuba na Tz

Na mwaka huu wana enda waCuba kuwe keza mabilioni zaidi kuendelea mikakati zaidi ya uzalishaji nk

Labda kama una zungumzia kiwanda kingine

Pita pia ktk Page ya Balozi Polepole ujielimishe
Umekosea kuchambana siyo kariba yetu humu, elezea kile unachujua wewe, mimi bidhaa zake sizioni sokoni ujue? Dawa ya kuuwa mbu tuuu siyo mengine twende kazi. Kuchamba siyo desturi nzuri kwa mtu km wewe ndugu.
 
Pale hawazalishi vikopo vidogo vidogo kama hivyo vilivyopo madukani, hapana wanazalisha in large quantity kwenye> 20lts na wanauza kwenye mahospital, migodi kwa ajili kupulizia large compound sio single room.
 
Nimekupa mkuu asante!!!!!
 
Sasa Watanzanja kiwanda kikianza wazawa na ndugu zenu si ndio watapata ajira hapo au mnatakaje tena.Maaana hata wasipokuwepo hilo eneo litabaki tu na hamna la maana litakachofanyiwa.Kiwanda hicho mpk kianzishwe ni watu waliojizatiti.Umaskini kwenye nchi za Afrika umeanzia kwenye Fikra za Waafrica wenyewe.Na ukitaka kujua akili zao sikiliza maoni yao ndio utawaelewa.
 
Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.

Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
Labda wanalekebisha lakin si kutengeneneza
 
Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.

Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
huyo rc namjua kwao ni mwanza ni mtu muoga na wa kujikomba sana
 
Back
Top Bottom