BRAVO 2 ZERO
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 1,174
- 1,196
Viwanda sio vya wazawa, ni vya foreignersMkoa ambao umetoa Kiongozi wa hovyo hovyo na aliyeiharibu nchi pakubwa inzweza Kweli kuwa na Watu wenye Akili Kubwa ya mpaka Kuthubutu kutengeneza Simu?
Hakijafa kinafanya kazi mpaka leo,Kile kiwanda cha kutengeneza viwatilifu vya kuuwa mbu mpk leo kimya kimekufa kibudu, mnaanzisha kingine teena.
Bidhaa zake zipo madukani?Hakijafa kinafanya kazi mpaka leo,
Na Mimi najua hivi,,, jamani hivi viwanda sio vya wandengereko au wazaramu!Viwanda sio vya wazawa, ni vya foreigners
Mpaka mtu akawa kiongozi,unafikiri kufikia kiwango cha uongozi ni kazi rahisi,tena ngazi ya kitaifa na ya kimataifa.Wakati wewe ndio wa ovyo,hata ujumbe wa mtaa huna.Mkoa ambao umetoa Kiongozi wa hovyo hovyo na aliyeiharibu nchi pakubwa inzweza Kweli kuwa na Watu wenye Akili Kubwa ya mpaka Kuthubutu kutengeneza Simu?
Wa ovyo ni wewe,ambaye hata ujumbe wa mtaa,hujakuwa.Ya anakotokea Kiongozi wenu wa hovyo.
Huwa hawa wanadanganyana kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.Wakati huko kwao bara,kila siku wanauana kwa ushirikina.Aliyekwambia pwani kuna ushirikina ni Nani ?
Umelewa Togwa nini
Waajiriwa ni hao wazaramo na wendengereko.Na Mimi najua hivi,,, jamani hivi viwanda sio vya wandengereko au wazaramu!
Ni viwanda vya wawekezaji kutoka nje ya nchi...!
Sasa sioni jambo gani la ajabu hapo kusema pwani itaanza kutengeneza simu!
Hata kama ingeanza kutengeneza magari ya umeme maadam ni viwanda vya wawekezaji kutoka nje hakuna la kustaajabisha hapo!
Kweli kabisa shinyanga wanaua vikongwe na albino Kwa uchawi na ushirikina huku pwani hamna upuuzi huoHuwa hawa wanadanganyana kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji.Wakati huko kwao bara,kila siku wanauana kwa ushirikina.
Ishu sio waajiriwa ishu nani anatengeneza?!Waajiriwa ni hao wazaramo na wendengereko.
Huna unacho kijua... kiwanda hicho ni ushirikiano kati ya waCuba na TzKile kiwanda cha kutengeneza viwatilifu vya kuuwa mbu mpk leo kimya kimekufa kibudu, mnaanzisha kingine teena.
kwa ufahamu wangu, naamini kuna kiwanda kama viwanda vingine kimejengwa huko kwa ajili ya kutengeneza simu na siyo kwamba utengenezaji simu huo upo chini ya mwananchi wa Pwani hata 25%, hawa ni wawekezaji na muekezaji kawaida yake anangalia wapi kuna unafuu wa kupata ardhi na ukufuatilia viwanda vingi sana vipo mkoa wa Pwani ni siyo ni viwanda vya serikali ya mkoa bali ni ndugu zetu wahindi na wachina ndio kwa asilimia kubwa wamejenga kule hivyo viwanda..Yaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.
Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
Umekosea kuchambana siyo kariba yetu humu, elezea kile unachujua wewe, mimi bidhaa zake sizioni sokoni ujue? Dawa ya kuuwa mbu tuuu siyo mengine twende kazi. Kuchamba siyo desturi nzuri kwa mtu km wewe ndugu.Huna unacho kijua... kiwanda hicho ni ushirikiano kati ya waCuba na Tz
Na mwaka huu wana enda waCuba kuwe keza mabilioni zaidi kuendelea mikakati zaidi ya uzalishaji nk
Labda kama una zungumzia kiwanda kingine
Pita pia ktk Page ya Balozi Polepole ujielimishe
Pale hawazalishi vikopo vidogo vidogo kama hivyo vilivyopo madukani, hapana wanazalisha in large quantity kwenye> 20lts na wanauza kwenye mahospital, migodi kwa ajili kupulizia large compound sio single room.Umekosea kuchambana siyo kariba yetu humu, elezea kile unachujua wewe, mimi bidhaa zake sizioni sokoni ujue? Dawa ya kuuwa mbu tuuu siyo mengine twende kazi. Kuchamba siyo desturi nzuri kwa mtu km wewe ndugu.
Nimekupa mkuu asante!!!!!Pale hawazalishi vikopo vidogo vidogo kama hivyo vilivyopo madukani, hapana wanazalisha in large quantity kwenye> 20lts na wanauza kwenye mahospital, migodi kwa ajili kupulizia large compound sio single room.
Labda wanalekebisha lakin si kutengenenezaYaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.
Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
Eti za matope dahNimecheka mpaka basi Mkuu. Simu za nini....?
huyo rc namjua kwao ni mwanza ni mtu muoga na wa kujikomba sanaYaani Mkoa umeshindwa Kumaliza tatizo Kubwa la Umasikini, Ujinga na Maradhi bila kusahau Ushirikina ulioota Mizizi huko leo hii hii hao hao wanataka Kutengeneza Simu.
Wewe RC Ababukary Kunenge bhana...!!
Chato Nigger.Tuambie kiongozi yupi aliyeipa tz utajiri kama wa pwani wameiharibu