nasikia mo kahonga usd 30,000 kwa ma referee simba ibebwe, red card ya okwi ndio kavuna

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow..

nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee...

je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba?
 
ALICHOKOSEA AKUJUA SIMBA N WACHEZAJI HII HABARI IKO TOKA JANA KAMA WACHEZAJI WAMESIKIA NA WANA TESEKA HATA MM NILIJUA USHONDO WASAHAU
 
Kweli mkuu..amehonga kama alivyomuhonga refa ile mechi ya yanga tukamkojolea yanga komoja cha makalioni
 
Reactions: Tui
Kumbe umesikia? Nlijua umeshuhudia.
 
habari wadau..

kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow..

nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee...

je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba?
Kaya masikini FC at work

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Nyie wadudu wa nchi kavu na madimbwini 🐸🐸🐸 shida nn?
 
Ivi yanga, Mmekoswa wanaume ???

Sisi Simba hatuna kasumba ya kumrudia demu. Nyie tumeshawagonga kaaeni kimya.

The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
 
Reactions: Tui
Aya mayanga ni mapumbavu kwel kwel ndio maana team yenu haipat maendeleo yoyote
 
Reactions: Tui
Kweli mkuu..amehonga kama alivyomuhonga refa ile mechi ya yanga tukamkojolea yanga komoja cha makalioni
Jamaa mbona sooo personal kama inakuuma chomoa...Mechi ya Yanga refa na Yondani walikula...Tshabalala alikuwa na yellow card akamvuta jezi Boxer ilikuwa njano ya pili out..
 
Kipindi kile Manji anawanunua mashabiki muingie bure tena kwa Tsh 100,000,000 mbona mlikuwa mnakimbilia kuingia bure na hamkulalamikia?
habari wadau..

kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow..

nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee...

je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tui
Jamaa mbona sooo personal kama inakuuma chomoa...Mechi ya Yanga refa na Yondani walikula...Tshabalala alikuwa na yellow card akamvuta jezi Boxer ilikuwa njano ya pili out..
Ndiyo mkuu tulimuhonga refa tukawakojolea kimoja...nasikia juzi kati na lipuli walimuhonga refa wakawakojolea kimoja
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…