nasikia mo kahonga usd 30,000 kwa ma referee simba ibebwe, red card ya okwi ndio kavuna

nasikia mo kahonga usd 30,000 kwa ma referee simba ibebwe, red card ya okwi ndio kavuna

Kiwewe cha kuibiwa pointi 10!Kocha analalamika kuibiwa pointi 10 na mapopoma wanapiga makofi.
Mradi wa familia maskini umefeli bungeni. Wabunge wamepinga watu wazima wachangiwe na walemavu nao wafanyeje?
 
TASAF MALAYA.png
 
Endeleeni kubwabwaja ila Mazembe ataisoma kwao na hii simba ni nyingine
 
habari wadau..

kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow..

nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee...

je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba?
Hakika okwi alistahili redcard
 
habari wadau..

kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow..

nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee...

je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba?
Kwani unateseka. Nyie Mbutembute hamna tofauti na mwanamke Mdangaji sasa hivi.
 
Hivi Simba na yanga Nani Ana rekodi ya kuhonga michuano ya CAF au umesahau viongozi wenu walivyofungiwa au ulikuwa haujazaliwa
 
Back
Top Bottom