T Tui JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 4,698 Reaction score 6,670 Apr 7, 2019 #21 Kiwewe cha kuibiwa pointi 10!Kocha analalamika kuibiwa pointi 10 na mapopoma wanapiga makofi. Mradi wa familia maskini umefeli bungeni. Wabunge wamepinga watu wazima wachangiwe na walemavu nao wafanyeje?
Kiwewe cha kuibiwa pointi 10!Kocha analalamika kuibiwa pointi 10 na mapopoma wanapiga makofi. Mradi wa familia maskini umefeli bungeni. Wabunge wamepinga watu wazima wachangiwe na walemavu nao wafanyeje?
Barn JF-Expert Member Joined Feb 28, 2017 Posts 2,734 Reaction score 4,042 Apr 7, 2019 #23 TASAF fc mnateseka Sent using Jamii Forums mobile app
SPECIAL TMN JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 1,111 Reaction score 807 Apr 7, 2019 #24 Endeleeni kubwabwaja ila Mazembe ataisoma kwao na hii simba ni nyingine
kurlzawa JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 16,695 Reaction score 20,633 Apr 7, 2019 #25 FRESHMAN said: habari wadau.. kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow.. nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee... je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba? Click to expand... Hakika okwi alistahili redcard
FRESHMAN said: habari wadau.. kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow.. nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee... je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba? Click to expand... Hakika okwi alistahili redcard
S Sokwe Mkonwe New Member Joined May 18, 2018 Posts 4 Reaction score 4 Apr 7, 2019 #26 FRESHMAN said: habari wadau.. kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow.. nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee... je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba? Click to expand... Kwani unateseka. Nyie Mbutembute hamna tofauti na mwanamke Mdangaji sasa hivi.
FRESHMAN said: habari wadau.. kwa sheria za mpira mtu wa mwisho kumchezea rafu mtu ni red card.. okwi kapewa yellow.. nasikia mo ametoa usd 30,000 kwa mareferee... je kamati ya fitna imempiga mo ama ametendewa haki hela zake.. kwa marefa walivyowabeba? Click to expand... Kwani unateseka. Nyie Mbutembute hamna tofauti na mwanamke Mdangaji sasa hivi.
R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 Apr 7, 2019 #27 Hivi Simba na yanga Nani Ana rekodi ya kuhonga michuano ya CAF au umesahau viongozi wenu walivyofungiwa au ulikuwa haujazaliwa
Hivi Simba na yanga Nani Ana rekodi ya kuhonga michuano ya CAF au umesahau viongozi wenu walivyofungiwa au ulikuwa haujazaliwa