Tetesi: Nasikia na hawa walikuwa miongoni mwa wale 52, waliokuwa wamwasili Simiyu

Tetesi: Nasikia na hawa walikuwa miongoni mwa wale 52, waliokuwa wamwasili Simiyu

Mbio za mwenge ni noooma,utakuta mchango wa kila halmashauri kwenye Mwenge ni mil.10.
Kila mfanyakazi katika hamashauri anachangia 2000,
Mkuu wa idara 10000 au 15000,l
VEOS walete either 80000 au zaidi au pungufu ya hapo hii inategemea mratibu wa Mwenge amepanga vipi.
Vyama wa siasa 50000 au juu ya hapo,kuna wakulima wakubwa km wapo au wafanya biashara wakubwa 200000 hii inategemea na halmashauri wamepanga vipi,nk nk
Bajeti ya mwenge inategemea pia na halmashauri wengine mil.30,wengine 35,wengine 40 kwa kuzindua miradi isiyo na kichwa wala miguu plus uongo uongo mwingii
Sijui kwa wakimbiza mwenge kitaifa wanalipwaje au wa Mkoa na halmashauri
Ushauri Mwenge akawashwe makumbusho na kuzimwa makumbusho hizo hela zingeweza kufanya mambo mengine ya maendeleo km JPM na kauli ya kubana matumizi hapa ingekaa vizuri kuliko kutumbuliwa kwa siku moja khaaa!!
wale wenzetu wa rangi ya kaki na madoa doa vip, hv nao huwa hawachangii kweli?
 
Eti Dfp watu mna vituko Sana. kwa safari ya bariadi Kuna possibility ya wengi walirudia njiani kuanzia shy tinde nzega igunga shelui sgd manyoni dodoma.
tena siku hzi naona wanaziwekea DFPF..

ahaha ahahahaaa aha
 
Uchochezi tu huo! Gambo amerudisha posho 1.3m mubashara aka LIVE!!
mkuu nasikia yy alishakula nusu ya posho, alichokifanya kaenda kukopeshwa na uvccm arusha kuogopa fedheha, tetes lakn
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Mbio za mwenge ni noooma,utakuta mchango wa kila halmashauri kwenye Mwenge ni mil.10.
Kila mfanyakazi katika hamashauri anachangia 2000,
Mkuu wa idara 10000 au 15000,l
VEOS walete either 80000 au zaidi au pungufu ya hapo hii inategemea mratibu wa Mwenge amepanga vipi.
Vyama wa siasa 50000 au juu ya hapo,kuna wakulima wakubwa km wapo au wafanya biashara wakubwa 200000 hii inategemea na halmashauri wamepanga vipi,nk nk
Bajeti ya mwenge inategemea pia na halmashauri wengine mil.30,wengine 35,wengine 40 kwa kuzindua miradi isiyo na kichwa wala miguu plus uongo uongo mwingii
Sijui kwa wakimbiza mwenge kitaifa wanalipwaje au wa Mkoa na halmashauri
Ushauri Mwenge akawashwe makumbusho na kuzimwa makumbusho hizo hela zingeweza kufanya mambo mengine ya maendeleo km JPM na kauli ya kubana matumizi hapa ingekaa vizuri kuliko kutumbuliwa kwa siku moja khaaa!!
Kinachouma sana ni PAYE na VAT inavyotumika huku huyo mlipaji akitembea soli ya kiatu imesha kutokana na kushindwa kununua kingine.
 
Kama Watanzania wenzangu mpaka leo mnaishi zama za mwalimu Nyerere, basi tambua mmekwisha. Hakuna anae jitolea hapa Tanzania kwenye nyanja ya uongozi wa siasa, au serikali, watu wanatafuta maslahi. Mwanasiasa yeyete awe anatoka upinzani awe anatoka chama kinachoongoza nchi, wote wapo kutafuta pesa zaidi kuliko mnavyodhani. Kumbe Julius Mtatiro, hakueleweka alipotuambia watanzania nia wenzake, sababu za kukosa ubunge, pia alisema kwake anaamini siasa ni ajira. Kama watu wapo kwa ajili ya kujitolea, basi telekeza shuguri zako nenda kaungane na anaelia huku akitoa machozi ya damu.
 
Nadhani mkuu Wa nchi alitaka kuwaeleza japo kawateua lakini waelewe maamuzi ni yake mkuu wasijisahau... Ni moja ya mitihani ila wameiweza vizuri ni furaha kwa raisi kuwa na vijana hawa...
 
mkuu nasikia yy alishakula nusu ya posho, alichokifanya kaenda kukopeshwa na uvccm arusha kuogopa fedheha, tetes lakn
Afanyeje sasa zaidi ya kutetea kitumbua chake! Serikali ya mwendokasi hii!!
 
Hizi chuki binafsi waziwazi

Nilichogundua mleta mada unachuki zako kwa hawa viongozi vijana waliokabiziwa mikoa inayobeba uchumi wa tz

Kwanini awe makonda na gambo wengine hukuwaona

Acha izo huu ni wivu wakijinga sana
 
habar wana JF

kuna habari zinasikika kuwa mkuu wa mkoa wa dsm, Bwana Paulo Makonda, tayr alikuwa kaishafika simiyu kabla mkuu wa nchi ajatangaza kurudi kwenye vituo na kurudisha posho...

nasikia aliamuru plate namba ya gar ibadilishwei kutoka RAC DSM kwenda DFP na kugeuka usiku wa manane, ili kukwepa aibu kwa wana dasalama na viongozi wenzake

pia wale wanauslama wa barabarani wanaolinda zile barriers, kwa upande wa barabara kuu za mikoa ya kaskazini, walishuhudia pia ujio wa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Mrisho Gambo, akirud na yy nyakati za usku wa manane kuogopa fedheha akiwa ameambatana na viongoz wengen wawili ambao hawakuweza kufahamika kwa haraka...

najaribu kujiuliza kama ni kweli, mbona hawa watu wamekuwa wakijipambanua wazi wazi mbele ya kamera na majukwaan kuwa wanamsaidia mheshimiwa rais kubana matumizi, wakat wao tayar walikuwa washakunja posho na kuzitia kibindoni au ndio kuganga njaa kwao huko?

kweli nimeamini sio kila anayekupigia makofi anakushangilia ase...

kama kuna tetesi za viongoz wengne waliojialika na kujilipa posho, wakakutana na panga la mtukufu endelea kuwaorodhesha, ili wapate kufahamika kwa mtukufu
Majungu hayo.
 
Utoji wa taarifa za kuvizia vizia sio mzuri, nadhani kama wangeambiwa mapema ( official way) yasingetokea hayo.
 
habar wana JF

kuna habari zinasikika kuwa mkuu wa mkoa wa dsm, Bwana Paulo Makonda, tayr alikuwa kaishafika simiyu kabla mkuu wa nchi ajatangaza kurudi kwenye vituo na kurudisha posho...

nasikia aliamuru plate namba ya gar ibadilishwei kutoka RAC DSM kwenda DFP na kugeuka usiku wa manane, ili kukwepa aibu kwa wana dasalama na viongozi wenzake

pia wale wanauslama wa barabarani wanaolinda zile barriers, kwa upande wa barabara kuu za mikoa ya kaskazini, walishuhudia pia ujio wa mkuu wa mkoa wa Arusha bwana Mrisho Gambo, akirud na yy nyakati za usku wa manane kuogopa fedheha akiwa ameambatana na viongoz wengen wawili ambao hawakuweza kufahamika kwa haraka...

najaribu kujiuliza kama ni kweli, mbona hawa watu wamekuwa wakijipambanua wazi wazi mbele ya kamera na majukwaan kuwa wanamsaidia mheshimiwa rais kubana matumizi, wakat wao tayar walikuwa washakunja posho na kuzitia kibindoni au ndio kuganga njaa kwao huko?

kweli nimeamini sio kila anayekupigia makofi anakushangilia ase...

kama kuna tetesi za viongoz wengne waliojialika na kujilipa posho, wakakutana na panga la mtukufu endelea kuwaorodhesha, ili wapate kufahamika kwa mtukufu
Sioni kosa lao walikuwa sahihi .pesa ilitolewa waende simiyu nawalikwenda simiyu.kwa nini wairudidhe,ambao walishafika simiyu wangewaacha tu
 
Mi siwalaumu sana wakuu haww na wengine walioalikwa.Nadhani agizo la mkuu lilichelewa kidogo.ingependeza hata kuanzia sasa angepiga marufuku mambo yote yanayoonekana kuwa na matumizi mabaya kuanzia mbio zamwenge,sherehe flan flan n.k. Watu watajua mapema na hivyo mammbo kama haya hayatatokea kamwe
Ndio hayo ya kukurupuka. Serikali yote haiko katika hali ya kufanya wajibu wake kwani haijulikani atazuka na lipi na kuwakwaza watendaji katika wajibu wao. Sema moja, kama hakuna maadhimisho yoyote ijulikane hivyo, nani anahusika na maadhimisho gani ili hata bajeti ya hayo maadhimisho isitengwe na itumike kwa masuala mengine.
 
tetes ni kuwa alishatafuna robo tatu ya posho, na kuirejesha alikopa kwa watu wa GSM, kulinda kibarua na agizo la mkuu

GSM si ndio wale walikuwa HOME SHOPPING CENTRE waliokuwa wabia wa mkweree kwenye kuvusha makontena bila kulipa kodi kwa takribani miaka kumi ya utawala wake? Makonda kumbukeni kuwa ni surrogate wa mkweree JPM anamzuga tu!!!
 
Mambo ya usiku wa manane umeyajuaje kama sio umbea!
 
Back
Top Bottom