Bila shaka msukuma katema madini!View attachment 3622576
mashimo yatakuwa yametema
Siku hizi Merirani imechuja.Kawaida tu,hata miaka ile tunduru ilipotema madini
Wauza nychi kibao walijisogeza huko
Ova
Sio kweli iyo tathimini umeifanya Kwa kutumia vigezo ganiKwa Tanzania hii ukitoa dsm na kahama sizani kuna mkoa wenye mzunguko mkubwa wa pesa kama viunga vya geita(geita town,katoro,Lunzewe,kahama)