Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

Nasikia vibuyu vinaliwa, ni kweli?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Na ni fursa gani zingine za kichumi zinatokana na vibuyu? Wapi Tz vinalimwa sana?

giant-bottle-gourd-lagenaria-leucantha-var-gourda-for-ornamental-use-only-2_b3a89ee0-13da-4180...jpg
giant-bottle-gourd-lagenaria-leucantha-var-gourda-for-ornamental-use-only-4_268a6031-59c2-4928...jpg
giant-bottle-gourd-lagenaria-leucantha-var-gourda-for-ornamental-use-only-1_759bcca6-427c-4a02...jpg
 

Attachments

  • giant-bottle-gourd-lagenaria-leucantha-var-gourda-for-ornamental-use-only-4_268a6031-59c2-4928...jpg
    giant-bottle-gourd-lagenaria-leucantha-var-gourda-for-ornamental-use-only-4_268a6031-59c2-4928...jpg
    82.5 KB · Views: 7
Swali ni lipi; 'Vinaliwa' km ilivyo katika title au 'vinalimwa' km ilivyo katika mada yenyewe?!!!!
 
Mchawi mstaafu, hayo ni Maboga lishe yanaitwa Butternut squash na sio vibuyu. Ni mazuri sana na yana bei kubwa kwani moja huuzwa hadi tshs 2000. Ni fursa nzuri sana
Squash na vibuyu ni tofauti japo wako jamii moja.
 
Mchawi mstaafu, hayo ni Maboga lishe yanaitwa Butternut squash na sio vibuyu. Ni mazuri sana na yana bei kubwa kwani moja huuzwa hadi tshs 2000. Ni fursa nzuri sana
Mchawi mstaafu[emoji23]
 
Tanga tuanaita MAYUNGU sasa kuna mseto wake huo yanachanganywa na mahindi mabichi huo mseto unaitwa KITAPWA ebhanaeeh acha kabisa
 
Kuna vichungi na visivyo.
Vibuyu kama vibuyu mkuu huwa hatuvili. Hata majani yake huwa hatuchumi kama mboga! Yanayoliwa yapo jamii ya maboga kikwetu huwa tunaita "ndugwa" haya yanapikwa yakiwa machanga unakula na maganda yake. Yakikomaa yanakuwa na radha ya hovyo! Tumeyala sana tulivyokuwa watoto. Chakula asili kabisa, watoto wetu wamekosa vitu vya maana sana!
 
Back
Top Bottom