Ni kweli,wanaume wengi wanaoa lakini huenda kuishi kwa mwanamke hasa vijijini kama vile mkarango(zamani mchangani/n`changani),namajani,nandembo,na hata mkomaindo hayo ni baadhi ya maeneo machache tuu,.
cholello wamakua,nihongwelellaa??π [emoji23]
Matrinia sosayatiBibi yangu alisomaga huko masasi miaka hiyo. Sasa alinisimulia kuwa wakiwa vijijini siku moja wakakuta mdingi amebeba vitu kama anahama.
Walipomuuliza akawajibu kuwa mama yenu kanifukuza. Ni kweli hizi ishu zipo? Maana najua kuna ishu za matrinia na patrinia lakini nilikuwa naona kama hadithi tu.