GE2025 Nasikiliza hotuba zake, hazina uhalisia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lisu angekuwa majukwaani anatoa hotuba kuna mgombea angekuwa anazimia zimia majukwaani kwa kutetemeka...nafikiria tu hapa, kuna mtu mikojo ingekuwa inamdondoka akiwa jukwaani akihutibia maana angekosa confidence kabisa ya kusimama mbele ya watanzania
 
Unapata wapi muda wa kufuatilia!??
 
Sikutegemea zama hizi mgombea aje na sera za kusoma,kuhesabu na kuandika. Hawa jamaa ni matapeli na wanajua watanzania hawana Cha kutufanya
 
niko nje naona aibu kuwa mtanzania. taifa letu limejaa upumbavu mtupu
 
Una m
Una roho nzuri sana mkuu,mpaka unapata muda wa kumsikiliza!
Basi sawa,kuhusu hivyo vi -ajira anavyo taja hivyo,kwani kwa sasa kuna mtu aliyemzuia kuajiri mpaka asubirie baada ya uchaguzi?
Msogezee hilo swali tafadhari!
Naunga mkono hoja,nisiwe mnafiki huwa sitamani tu hata sauti ya huyu mimi niisikie hata kwa bahati mbaya
 
Hakuna ujanja hapo ni vituvisivyo eleweka na aibu tu.
Ndo Tatizo la kukaririshwa jambo ambalo hujallelewa vizuri, Hapo kun watu wameingiza hilo jambo ili wapige ile 20% from inflated prices. Tunahitaji huruma ya Allah !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…