Nasikitika kuwaambia Simba leo Mnachezea tena. Mganga kathibitisha hamtoki tunayo matokeo tayari

Nasikitika kuwaambia Simba leo Mnachezea tena. Mganga kathibitisha hamtoki tunayo matokeo tayari

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nimepata furaha sana na sasa hivi tunarudi na jamaa zetu tumeshatengeneza miundo mbinu uwanja wa Taifa.

Toka jana tupo ndani ya uwanja na mzee wetu xxxxx xxxx tunafanya mambo. Baada ya hapo tumeangalia kwenye screen. Mambo yapo fresh kabisa. Simba wamefungwa matofali miguuni. Tunawachapa vibaya.

Na FA tunachukua hilo halina ubishi, simba mtawaonea hao hao mabwege kwa yanga sahauni hilo jambo nyau nyie.

Leo mnapigwa mrudi kwenu mkanyee debe. Yanga daima mbele nyuma mwiko.
 
Utopolo de Mkunungu a.k.a Wachawi fc uchawi hautamisaidia kitu leo mtapata kipigo kizito kutoka kwa Mabingwa wa nchi Mnyama mkali Simba sc.

Simba nguvu moja
 
Back
Top Bottom