Nasikitika kwamba suala la kufungiwa Glory Church linapelekwa mahakamani

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu.

Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa.

Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika wanaongea dhidi ya serikali?
 
Kutoka 14:14. BWANA atawapigania ninyi. Nanyi mtanyamaza kimya.
 
Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu.

Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa.

Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika wanaongea dhidi ya serikali?
na siajabu hao maaskofu na waumini wengine ni wanachama wa CCM
 
Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu.

Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa.

Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika wanaongea dhidi ya serikali?
Tulianza safari pamoja kwanini mwenzetu utuasi! Hao tuliokubaliana kuwamaliza bado hawajaisha mwenzetu unajitoa, utatuona.
 
Back
Top Bottom