Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Kutoka 14:14. BWANA atawapigania ninyi. Nanyi mtanyamaza kimya.Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu.
Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa.
Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika wanaongea dhidi ya serikali?
na siajabu hao maaskofu na waumini wengine ni wanachama wa CCMLile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu.
Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa.
Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika wanaongea dhidi ya serikali?
Waefeso 6:12Kutoka 14:14. BWANA atawapigania ninyi. Nanyi mtanyamaza kimya.
Nipo nasikiliza interview ya sativa hapa..Wahusika wanasoma sana comments..
Tulianza safari pamoja kwanini mwenzetu utuasi! Hao tuliokubaliana kuwamaliza bado hawajaisha mwenzetu unajitoa, utatuona.Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu.