Nasikitika mshumaa umepotea

WENYELE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,433
Reaction score
1,442
Nina huzuni wimbo wa mshumaa wa Alikiba haukuweza kutrend youtube uliishia kushika namba mbili tu nyuma ya UNO ya Harmonize badae Baba Lao.
Nilikua nategemea utashika no.1 lakini figisu hazikuisha Baba Lao,Roma akatupa jiwe gizani likawaporomosha UNO hadi baba lao kashik no.2 Maskini nikaona mshumaa huuuoooo unazima...so sad.

Wazee wa kuiba penseli wakaja tena na huku African Boy "Jux" wakimtumia km Mbeleko....SUGUA ikashika usukani....MSHUMAA hadi leo siuoni tena.

Badae Domo kaja kuvuruga hali ya hewa tena kwa kutupinga SOUND nakuanza kutrend tena.
In short miezi mitatu hii iliyopita trending youtube Domo ndo ka kaa kila mwezi...
Sipendi kumwona mfalme wangu anapigwa vumbi Tabora na CNN hawataki kumweka kwenye list
 
mbona mshumaa imeshika 01 trending zaidi ya wiki mbili sasa, sema jamaa hapendi show off, imeshika nafasi hiyo ila kwenye channel yake isiyopenda mambo ya kujionyesha onyesha!
 
Mshumaa uliletwa na upepo wa kisulisuli
 
mbona mshumaa imeshika 01 trending zaidi ya wiki mbili sasa, sema jamaa hapendi show off, imeshika nafasi hiyo ila kwenye channel yake isiyopenda mambo ya kujionyesha onyesha!
Acha ushambenga sasa kama ni hivyo MOND BABA LAO SI NI MIAKA +
 
how came mwanaume unasema eti ''mfalme wangu''.Anyway ni nje ya mada huyu alikiba tatizo maringo mengi na vinyimbo vyake vya kuremba sauti game limebadilika linataka vitu vy akuvibe sasa yeye akomae to kujifanya ndo anaweza huku wengine wanatusua
 
Mshumaaa bado ni bonge moja la pini, Kwa style ya Alli Kiba sidhan kama atakuja kupotea , japo kuna kitu atakosa kama gharama ya style yake ambacho ni mafanikio na umaarufu kupindukia, jamaa atakaa Sana kwenye game
Majumban wimbo wa mshumaaa ndo unapigwa Sana lakn lodge, baa, club na Kwa wachoma cd , Baba lao na uno ndo zinachezwa Kwa wingi.....
Namtabiria Alli Kiba kuja kuheshimika zaidi....
 
Mkuu ngoma zinazopigwa huko ndio pia zinazopigwa majumbani. Ukweli Mshumaa umezimika vibaya sana kiasi kwamba imeshindwa ku-trend namba 1 YouTube.
 
Hata kwny bllboard imekua ya kwanza mkuu
mbona mshumaa imeshika 01 trending zaidi ya wiki mbili sasa, sema jamaa hapendi show off, imeshika nafasi hiyo ila kwenye channel yake isiyopenda mambo ya kujionyesha onyesha!
 
Mkuu ngoma zinazopigwa huko ndio pia zinazopigwa majumbani. Ukweli Mshumaa umezimika vibaya sana kiasi kwamba imeshindwa ku-trend namba 1 YouTube.
Ku'trend namba1 kwenye youtube haimaanishi ndo ngoma kali,la hasha ila tu ni watu wanai'view sana kwa muda huo..Audio yawezakua mbaya but video ikawa kali ndo ikawafanya maraia kuidekerea zaidi on U tube.
 
Unaumizwa sana na maisha ya Kiba, maskini yeye hata hatambui kama upo ulimwengu huu, ajabu hata balozi wa mtaa wako hakufahamu, Kiba ni STAA mkubwa ndio maana ameweza kupata heshima amabyao sidhani kama utaipata maishani mwako. Halafu wasanii hawawezi kufanana kila mtu na nyita yake lakini kila mmoja ana ishi life nzuri tu. Kiba ana nyumba ya NDOTO TAKO, ana gari ya NDOTO yako. Acha chuki ufanikiwe.
 

Ulichokiona, nimekiona....you have said it all

Atasumbua sana huyu, kagoma kwenda na upepo


Wewe toa nyimbo kumi, yeye anatoa moja anatulia anafunika zako kumi
 
Mkuu umemaaliza kilaa kitu na naunga mkono kwa 100% hii comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…