Nina huzuni wimbo wa mshumaa wa Alikiba haukuweza kutrend youtube uliishia kushika namba mbili tu nyuma ya UNO ya Harmonize badae Baba Lao.
Nilikua nategemea utashika no.1 lakini figisu hazikuisha Baba Lao,Roma akatupa jiwe gizani likawaporomosha UNO hadi baba lao kashik no.2 Maskini nikaona mshumaa huuuoooo unazima...so sad.
Wazee wa kuiba penseli wakaja tena na huku African Boy "Jux" wakimtumia km Mbeleko....SUGUA ikashika usukani....MSHUMAA hadi leo siuoni tena.
Badae Domo kaja kuvuruga hali ya hewa tena kwa kutupinga SOUND nakuanza kutrend tena.
In short miezi mitatu hii iliyopita trending youtube Domo ndo ka kaa kila mwezi...
Sipendi kumwona mfalme wangu anapigwa vumbi Tabora na CNN hawataki kumweka kwenye list