Nasikitika mshumaa umepotea

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona mshumaa imeshika 01 trending zaidi ya wiki mbili sasa, sema jamaa hapendi show off, imeshika nafasi hiyo ila kwenye channel yake isiyopenda mambo ya kujionyesha onyesha!
 
Mshumaa umeungua wote tabora jana, anatengeneza koroboi sasa hivi mishumaa inazingua.😀
 
Na Kiba analalamaga sana kuwa watu wanatoa ngoma bila mpangilio anasahau kila mtu anatetea ugali wake na njia ya kwenda toi isiote nyasi[emoji3]
 
Ulichokiona, nimekiona....you have said it all

Atasumbua sana huyu, kagoma kwenda na upepo


Wewe toa nyimbo kumi, yeye anatoa moja anatulia anafunika zako kumi
Jimsi ambavyo Kiba amegoma kwenda na upepo wa wafanya biashara ya Muziki amenifanya nizidi kumheshimu. Kiba angeweza kubadilika na angefanya vizuri sana lakini yeye kaamua kufanya muziki siyo biashara, yaani muziki wake ndiyo umletee biashara no matter what tofauti na walioamua kuingiza biashara kwenye.
Huyo wanaemsifia atapita na upepo kama alivyokuja na upepo lakini Kiba atabaki maana ameamua kutoenda na upepo.
Mfalme huangalia himaya yake
 
Huwa una trend usiku mkuu..mchana huwezi kuuona ukitrend
 
Kwa maneno yako haya,basi mshumaa audio na video zote mbovu
Ku'trend namba1 kwenye youtube haimaanishi ndo ngoma kali,la hasha ila tu ni watu wanai'view sana kwa muda huo..Audio yawezakua mbaya but video ikawa kali ndo ikawafanya maraia kuidekerea zaidi on U tube.
 
Mkuu naona umeanza pigo kama za Diva the Bawse sasa[emoji16][emoji16]
Ulichokiona, nimekiona....you have said it all

Atasumbua sana huyu, kagoma kwenda na upepo


Wewe toa nyimbo kumi, yeye anatoa moja anatulia anafunika zako kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…