VANDYBLEAZE
Member
- Dec 28, 2024
- 5
- 10
Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF
Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa kupata 100% ya mkopo so hata bum nilishindwa kuliweka linisaidie kiwango kikubwa nilimaliza kwenye ada na michango mingine, sasa nakaribia kumaliza lakini sion kama nitatoboa mtaani naona kiza na watu niliomaliza nao kidato cha nne watapata la kusema
All in all nina kipaji(fine arts) kuandika na kuchora mabango kwa rangi
Ila shida capital, Kuzaliwa bongo jiandae na kuteseka.. Nipeni ushauri wanajamvi
VANDY BLEAZE, FROM LINDI TANZANIA