Nasikitika nakaribia kumaliza masomo ya juu lakini sioni mwanga wa mafanikio naona kabisa naenda kuteseka

Nasikitika nakaribia kumaliza masomo ya juu lakini sioni mwanga wa mafanikio naona kabisa naenda kuteseka

Attachments

  • Screenshot_20250220-142009.png
    Screenshot_20250220-142009.png
    156.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-141958.png
    Screenshot_20250220-141958.png
    153.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-141951.png
    Screenshot_20250220-141951.png
    151.5 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250220-141940.png
    Screenshot_20250220-141940.png
    160.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250220-141933.png
    Screenshot_20250220-141933.png
    154.4 KB · Views: 1
Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF

Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa kupata 100% ya mkopo so hata bum nilishindwa kuliweka linisaidie kiwango kikubwa nilimaliza kwenye ada na michango mingine, sasa nakaribia kumaliza lakini sion kama nitatoboa mtaani naona kiza na watu niliomaliza nao kidato cha nne watapata la kusema

All in all nina kipaji(fine arts) kuandika na kuchora mabango kwa rangi

Ila shida capital, Kuzaliwa bongo jiandae na kuteseka.. Nipeni ushauri wanajamvi

VANDY BLEAZE, FROM LINDI TANZANIA
Maliza kwanza masomo na upate ufaulu mzuri.
 
Back
Top Bottom