Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Fani unayosoma, inaweza ikakutabiria maisha ya mbeleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaMaliza kwanza masomo yako, kuhusu mwanga na kufanikiwa usiwe na haraka njoo kwanza huku kitaa
Hela unayoipata kwa bet ndo wekeza kwenye mifugo utanishukuruWe poti ulisema mtaalam wa kubet, kwa nn tusiunde team?
Maliza kwanza masomo na upate ufaulu mzuri.Habari wana jukwaa mimi ni mgeni humu ila natembelea kila siku na navutiwa na hoja na maoni ya wanajamvi niwe mkweli naipenda JF
Mada hapo juu inasomeka, nipo mwaka wa tatu sasa sikufanikiwa kupata 100% ya mkopo so hata bum nilishindwa kuliweka linisaidie kiwango kikubwa nilimaliza kwenye ada na michango mingine, sasa nakaribia kumaliza lakini sion kama nitatoboa mtaani naona kiza na watu niliomaliza nao kidato cha nne watapata la kusema
All in all nina kipaji(fine arts) kuandika na kuchora mabango kwa rangi
Ila shida capital, Kuzaliwa bongo jiandae na kuteseka.. Nipeni ushauri wanajamvi
VANDY BLEAZE, FROM LINDI TANZANIA