Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

Tulia mkuu, nina miezi minne huku.. sijakutana na hiki unachokisema hapa
Kipo sana hapo...Nimepita hayo maeneo mara nyingi...najua...Na nikiwa bado mgeni; wenyeji wanaoshi hapo miaka mingi walinionya sana...Hauwezi kuwatambua kwa macho hao waathirika, sababu huko wanakula vizuri...Ila asilimia kubwa ndio hivyo tena...Kuwa makini Mkuu.
 
Wakishamaliza Airport, wachukue na Boarder zote - ile kazi ya TRA waichukue wao. Waanze na Boarder za Namanga, Rusumo na Tunduma.
Waanze na wewe bana si unawajua waarabu wanavowapenda waafrika
 
Kipo sana hapo...Nimepita hayo maeneo mara nyingi...najua...Na nikiwa bado mgeni; wenyeji wanaoshi hapo miaka mingi walinionya sana...Hauwezi kuwatambua kwa macho hao waathirika, sababu huko wanakula vizuri...Ila asilimia kubwa ndio hivyo tena...Kuwa makini Mkuu.
Sawa mkuu, ila industry ya uchakataji naitendea haki kweli kweli
 
Attachments

  • Screenshot_20230612-080406_1.jpg
    Screenshot_20230612-080406_1.jpg
    26.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom