Nasikitika sana CHADEMA kushindwa kuruka mtego mdogo wa kesi ya mgawanyo wa mali za chama

wale wazanzibari wanatumika na bibi mashavu wao
Ndio siasa ndugu NCCR washawai kuwawekea pingamizi Wagombea Ubunge wa chama cha CUF pale Pemba kwafaida ya CCM !!!

ndio kukazaliwa kura za maruhani Nchini kwetu. !!

Sio jambo geni kuwatumia wapinzani!!!

Wapinzani wenyewe wanaishi kwa pesa za ruzuku ya CCM.
 
kesi ya kisiasa kudhoofisha chadema haiendani na dhamira njema ya 4R vitu kama hivi kwenye kampeni ya mama vitaleta shida.
 
Kwa kifupi Mahakama za Tanzanja haziaminiki! Zinafuata maelekezo ya Wahuni ambao lengo ni kuitokomeza CDM kabisa! Wasingemkamata Lissu na harafu kukifungia chama kutofanya mikutano!
 
Chadema wapumbavu sana
Na wewe ni nani sasa? Unahangaika na wapumbavu ? Jana naona ulikuwa kariakoo kusomba wamachinga wakajaze uwanja? Kule moro leo ni hakuna kazi inaendelea.
Mpumbavu ni yule anayeambiwa vya uongo naye akakubali. Kama wewe unaambiwa ccm inakubalika kwa mamilioni nawe unakubali
Kumbe kuna cables zimeunganishwa!
Kelele zoote mnategemea WIZI WA KURA??
 
Uko msamvu? Maana si kwa nye. Ge ulizonazo kama mb. Waa jike
 
Kwani kesi ya msingi imeanza si wadai wailianza mapingamizi ya mali kutumika, kuongea na waandishi wa habari n.k na mara jaji akimbie kutokea mahakamani zote hizo ni delay so hata ukikiri unakiri nini ambacho hakijaelezwa mezani. Maana nao wamedai waletewe makabrasha kadhaa ina maana hawana nia ya mambo ya mali bali kupoteza muda tu
 
Kuna vitu vingine havihitaji degree.
Just akili ndogo tu unapita.
Mhuni anatumwa kufungua kesi CHADEMA ikaingia mazima.
Miezi kadhaa bila mikutano wako benchi.
Mikutano ipi sasa wakati Mchome alifungua kesi kupinga uongozi uliopo. Ruzuku nayo ikazuiwa we huoni kwamba hata hii kesi wangekiri tu usishangae ndio ingekua basis ya msajili kukifuta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…