Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 780
- 740
Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi.
Wasiwasi wangu tunapoelekea itakua tunabeba vikapu vya pesa za noti au vindoo vilivojaaa coins kwenda kuhemea sokoni.
Jamani tupige kelele ili mamlaka husika ichukue hatua kabla jahazi hili halijazama. Nawasilisha