Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 780
- 740
Piga kelele ute............... Shauri yako 😏😏Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi.
Wasiwasi wangu tunapoelekea itakua tunabeba vikapu vya pesa za noti au vindoo vilivojaaa coins kwenda kuhemea sokoni.
Jamani tupige kelele ili mamlaka husika ichukue hatua kabla jahazi hili halijazama. Nawasilisha
Kama gavana wa benki kuu yenu ni ex. Mzumbe university ulitegemea nini?Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi.
Wasiwasi wangu tunapoelekea itakua tunabeba vikapu vya pesa za noti au vindoo vilivojaaa coins kwenda kuhemea sokoni.
Jamani tupige kelele ili mamlaka husika ichukue hatua kabla jahazi hili halijazama. Nawasilisha
Habari zenu WanaJF,

Wanaendelea na maisha yao kama kawaida.Hivi Zimbabwe iliishia wapi baada ya pesa yao kuporomoka anaejua tafadhali
Kwahiyo baada ya pesa kuporomoka imepanda thamani tena maana ilifikaga hadi trion moja ya notiWanaendelea na maisha yao kama kawaida.
Mabeberu wamekaza mwisho wameachia goli wazi.
Thaman ya paper money ni games za kucheza na akili za watu.Kwahiyo baada ya pesa kuporomoka imepanda thamani tena maana ilifikaga hadi trion moja ya noti
Kivipi hebu fafanua kidogoThaman ya paper money ni games za kucheza na akili za watu.
Thamani ya fedha ya Marekani ni kubwa kuliko thaman ya fedha ya uchina. Lakini marekani anatolewa jasho kwenye soko la kimataifa. Hii ina maana gani kuhusu nguvu ya thaman ya sarafu za haya mataifa.Kivipi hebu fafanua kidogo
USA anafanya udalali wa fedha huku china inazalishaThamani ya fedha ya Marekani ni kubwa kuliko thaman ya fedha ya uchina. Lakini marekani anatolewa jasho kwenye soko la kimataifa. Hii ina maana gani kuhusu nguvu ya thaman ya sarafu za haya mataifa.
Ndio maana nasema mambo ya thaman ni kucheza na akili za watu tu.USA anafanya udalali wa fedha huku china inazalisha
Hahahahahaaaaa siku hizi ukihenga lazima uweke fremu hata mbweni huko.Uchumi wa frame huwezi kuwa na shilingi yenye nguvu
Ova
Walijipanga sasa hivi wanaendelea kuinuka.Hivi Zimbabwe iliishia wapi baada ya pesa yao kuporomoka anaejua tafadhali