Nasikitika Sana Kuona Shilingi yetu Ya Tanzania Inavyoporomoka

Thamani ya fedha ya Marekani ni kubwa kuliko thaman ya fedha ya uchina. Lakini marekani anatolewa jasho kwenye soko la kimataifa. Hii ina maana gani kuhusu nguvu ya thaman ya sarafu za haya mataifa.
Thamani ya pesa inaangalia demand na stability yake, kama China inafanya biashara kubwa duniani ila bado ikahitaji dollars kurahisisha mchakato mzima. Bhasi Dollar ina thamani zaidi

kama wewe huwezi kuhifadhi Tsh ndani na ukaitumia baada ya miaka mitatu pasipo kupoteza ile thamani halisi yani purchasing power yake. Then hiyo pesa ina thamani ila kwa hili jibu unalijua
 
Matokeo ya viongozi waislamu hayo...mzee mwinyi ndiye aliye anzisha hayo hadi sh yetu kuporomoka sana zamani ilikuwa sawa na Kenya tu ...waislamu kuwa viongozi ni kosa kubwa sana kwa taifa na hasara kuu
 
Bila data ya shillingi yetu ilivyoshuka dhidi ya currencies nyingine hili bandiko lako litabaki kuwa uzushi.

Kama vipi endeleeni kutembeza bakuli wakati madini, watu na ardhi yenye rutuba mnayo.

Next trip mama aenda kutembeza bakuli north korea atuletee mabomu
 
Sawa
Kwanini mabeberu huwa wanalalamika kwamba china anashusha thaman ya sarafu yake?
 
Kama uwezi kuporomoka nayo, ama nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…