AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
10,000 imekua sio hela tena yaan ukipewa 10,000 asubuhi hayatopita masaa 4 imekata yote tena ukiwa unafanya mizunguko lipa nauli za hapa na pale yote imeisha sasa ndio nini kipindi cha nyuma hio 10,000 inakuzungusha na inabaki sasa hivi bodaboda au bajaj hapa na pale 3,000 4,000 kwenda na kurudi 10,000 imeisha, nextKama gavana wa benki kuu yenu ni ex. Mzumbe university ulitegemea nini?
Udini huu, sijui mugabe nae alikuwa muislamMatokeo ya viongozi waislamu hayo...mzee mwinyi ndiye aliye anzisha hayo hadi sh yetu kuporomoka sana zamani ilikuwa sawa na Kenya tu ...waislamu kuwa viongozi ni kosa kubwa sana kwa taifa na hasara kuu
sahv ukienda na 10,000.00 sokoni nikama umeenda na 500 yaani haitoshi kwasababu vitu navyo vimepanda bei..nikweli sasa niwakati wa fedha kupata dhamani.Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi.
Wasiwasi wangu tunapoelekea itakua tunabeba vikapu vya pesa za noti au vindoo vilivojaaa coins kwenda kuhemea sokoni.
Jamani tupige kelele ili mamlaka husika ichukue hatua kabla jahazi hili halijazama. Nawasilisha
Ndio madhara ya inflation! unakuta bidhaa ambayo nje unachukua kwa dola 20 huku unachukua kwa 25000tzs ndio maana asilimia kubwa ya watanzia ni maskini kwasababu vitu vingi tunategemea nje bidhaa karibia zote hasa hizo bidhaa zikija huku na bei zao ndo unakuta zinapanda sana yani simu ile ile ya dola 200 ambayo mtu angetumia siku mbili au tatu aipate huko inageuka kuwa 450000 mpaka 500000 to 600000 ukijumlisha kodi sasa hapo maisha kuwa magumu ni kitu ambacho hakikwepeki.Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi.
Wasiwasi wangu tunapoelekea itakua tunabeba vikapu vya pesa za noti au vindoo vilivojaaa coins kwenda kuhemea sokoni.
Jamani tupige kelele ili mamlaka husika ichukue hatua kabla jahazi hili halijazama. Nawasilisha
Uchumi mgumu bwasheee, 😂😂😂Dada zetu wana calculate vipi mbona graph inashuka chini.😀😀😀😀
Wanatumia USDHivi Zimbabwe iliishia wapi baada ya pesa yao kuporomoka anaejua tafadhali
Mugabe ni tofauti tumia akili ...mugabe alifanyiwa fitina na mabeberu baada ya kuonyesha uzalendo kwa raia wake ..ni tofauti na hawa wabinua vijambio wa tz ..upuuzi unao endelea nchini siyo Samia tu bali ni kundi kubwa la waislamu linalo mshauri lililopo nyuma yake .Udini huu, sijui mugabe nae alikuwa muislam
Mugabe alikuwa dini gani jibu swaliMugabe ni tofauti tumia akili ...mugabe alifanyiwa fitina na mabeberu baada ya kuonyesha uzalendo kwa raia wake ..ni tofauti na hawa wabinua vijambio wa tz ..upuuzi unao endelea nchini siyo Samia tu bali ni kundi kubwa la waislamu linalo mshauri lililopo nyuma yake .
Wana pesa yao sema waliifanyia denominationWanatumia USD
Ulitaka atoke chuo Gani? Gavana ana nguvu Gani kwenye uchumi unaoendeshwa kisiasa? Najua utasema angejiuzuru,lakini vipi wewe ndyo ungekuwa gavana ungejiuzuru?Kama gavana wa benki kuu yenu ni ex. Mzumbe university ulitegemea nini?
Thamani ya fedha ya Marekani ni kubwa kuliko thaman ya fedha ya uchina. Lakini marekani anatolewa jasho kwenye soko la kimataifa. Hii ina maana gani kuhusu nguvu ya thaman ya sarafu za haya mataifa.
Kuhemea sokoni ndio nini? , kwamba huko ndio kuna pumzi nzuri ya kuweza kuhema au?Habari zenu WanaJF,
Mimi sio Mwanauchumi lakin kwa namna Tsh yetu inashuka thamani nazidi kusikitikia hata uongozi kwa namna wasivochukua hatua, mfano sikuhizi ukienda shell na elfu kumi unapata lita mbili tu, wakati miaka michache iliyopita ulikua unapata mpaka lita 5 kwa tsh elfu kumi.
Wasiwasi wangu tunapoelekea itakua tunabeba vikapu vya pesa za noti au vindoo vilivojaaa coins kwenda kuhemea sokoni.
Jamani tupige kelele ili mamlaka husika ichukue hatua kabla jahazi hili halijazama. Nawasilisha
Hebu nipe kiswahili fasaha hapo.Kuhemea sokoni ndio nini? , kwamba huko ndio kuna pumzi nzuri ya kuweza kuhema au?
NA MIMI IDEA YANGU ILIKUWA NI KWAMBA MAMBO YA THAMAN ZA SARUFI NI USANII TUThamani ya sarafu si kipimo cha nguvu ya nchi
Kwamba dola ya Marekani ina thamani kubwa kuliko yuan ya China (kwa mfano 1 USD ≈ zaidi ya yuan kadhaa) haimaanishi Marekani ina nguvu zaidi kiuchumi moja kwa moja.
Hii ni kwa sababu:
Thamani ya sarafu huamuliwa na soko la fedha (forex), si “ubora” wa nchi.
Nchi zinaweza kupunguza au kuongeza thamani ya sarafu zao kupitia sera za benki kuu.
kuhemea ni kufanya manunuzi ya bidhaa ndogondogoKuhemea sokoni ndio nini? , kwamba huko ndio kuna pumzi nzuri ya kuweza kuhema au?
Atoke Havard au Oxford au Cambridge au princeton.Ulitaka atoke chuo Gani? Gavana ana nguvu Gani kwenye uchumi unaoendeshwa kisiasa? Najua utasema angejiuzuru,lakini vipi wewe ndyo ungekuwa gavana ungejiuzuru?
Kiswahili cha kuhema? Si kiswahili hicho tayari?Hebu nipe kiswahili fasaha hapo.