Wote tunasikitikaHivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?
Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi
Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili statue changamoto yake?
Serikali ina muundo thabiti kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji, kata, Diwani, DED, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, hawa wote washindwe kutatua changamoto imngoje Waziri mkuu
Yani Leo Waziri mkuu anashindwa kupitia sera za kiuchumi kimataifa, utendaji wa serikali na mikataba ya serikali, yupo Sumbawanga anatatua changamoto za mama ntilie kuuza ubwabwa sokoni
Tumekinajisi sana cheo cha Waziri mkuu, labda hatujui maana yake
Yaani serikali inajaza mafuta na v8 40 kwenye msafara kwenda kutatua changamoto ya wanawake wa bar kuvaa min skirt au mama ntilie kuuza ubwabwa Kwa sokoni
Ila Tanganyika π
Taifa linaponywa kwa kelele?Mbona anarukaruka wilaya na mikoa? Juzi alikuwa Mkoa wa Manyara Kanda ya kaskazini, mara akaibukia Rukwa, karuka Singida na Tabora, si bora angeenda Simiyu kama si Singida akitokea Manyara? Anyway, analiponya taifa kwa kilichotokea wakati wa uchaguzi, tumuache afanye kazi ya kurudisha imani kwa wananchi kuwa serikali inajali wananchi wake
mwisho wa siku analalamika kwa wapiga kura wake kupigiwa makofi kiduchu!Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?
Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi
Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili statue changamoto yake?
Serikali ina muundo thabiti kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji, kata, Diwani, DED, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, hawa wote washindwe kutatua changamoto imngoje Waziri mkuu
Yani Leo Waziri mkuu anashindwa kupitia sera za kiuchumi kimataifa, utendaji wa serikali na mikataba ya serikali, yupo Sumbawanga anatatua changamoto za mama ntilie kuuza ubwabwa sokoni
Tumekinajisi sana cheo cha Waziri mkuu, labda hatujui maana yake
Yaani serikali inajaza mafuta na v8 40 kwenye msafara kwenda kutatua changamoto ya wanawake wa bar kuvaa min skirt au mama ntilie kuuza ubwabwa Kwa sokoni
Ila Tanganyika π
Very SAD.tupo wengi yaani PM inashugulika na kesi za kuku na wanandoa kunyima tendo pathetic πHivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?
Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi
Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili statue changamoto yake?
Serikali ina muundo thabiti kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji, kata, Diwani, DED, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, hawa wote washindwe kutatua changamoto imngoje Waziri mkuu
Yani Leo Waziri mkuu anashindwa kupitia sera za kiuchumi kimataifa, utendaji wa serikali na mikataba ya serikali, yupo Sumbawanga anatatua changamoto za mama ntilie kuuza ubwabwa sokoni
Tumekinajisi sana cheo cha Waziri mkuu, labda hatujui maana yake
Yaani serikali inajaza mafuta na v8 40 kwenye msafara kwenda kutatua changamoto ya wanawake wa bar kuvaa min skirt au mama ntilie kuuza ubwabwa Kwa sokoni
Ila Tanganyika π
Waziri wa wizara y vijana anaangua mapera na makota mtwara sisi vijana hatuna ajira hapa darHivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?
Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi
Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili statue changamoto yake?
Serikali ina muundo thabiti kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji, kata, Diwani, DED, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, hawa wote washindwe kutatua changamoto imngoje Waziri mkuu
Yani Leo Waziri mkuu anashindwa kupitia sera za kiuchumi kimataifa, utendaji wa serikali na mikataba ya serikali, yupo Sumbawanga anatatua changamoto za mama ntilie kuuza ubwabwa sokoni
Tumekinajisi sana cheo cha Waziri mkuu, labda hatujui maana yake
Yaani serikali inajaza mafuta na v8 40 kwenye msafara kwenda kutatua changamoto ya wanawake wa bar kuvaa min skirt au mama ntilie kuuza ubwabwa Kwa sokoni
Ila Tanganyika π
Hahhahaha motivesheno spika kawaambia vijana waache ajira wajiajiri kupata uhuru wa kifedha halafu yeye kaomba ajira ya ubunge na kapataWaziri wa wizara y vijana anaangua mapera na makota mtwara sisi vijana hatuna ajira hapa dar
Anaend3sha baskeli huku anakula muwa anaaminisha watu kuwa pamoja na wizi wa mali na fedha za umma unaofanyika, umaskini bado ni haki y kila mwananchi wa kitanzania aishie ukimaniHahhahaha motivesheno spika kawaambia vijana waache ajira wajiajiri kupata uhuru wa kifedha halafu yeye kaomba ajira ya ubunge na kapata