Nasikitishwa kuona Waziri Mkuu anazurura mtaani ati anatatua changamoto

Nasikitishwa kuona Waziri Mkuu anazurura mtaani ati anatatua changamoto

Walalamikaji njooni na solutions....tunakumbuka hata JPM hizi changamoto alikutana nazo .....tufanye nini ? Mimi naona ni utitiri wa viongozi wengi wasio na maana na mwingiliano wa majukumu viongozi wapunguzwe tujue maana ya kila ndio maana unakuta hata bunge linaangolea matundu ya vyoo ilhahali changamoto ni nyingine ila tuliokua nao sio watatuaji wa shida
 
Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?

Hata hawa majirani tu Rwanda, Kenya, Uganda, Zambia ati kuona Waziri mkuu wa Taifa fulani anafanya ziara ya kutatua changamoto za wananchi

Hivi huyu Waziri mkuu atamfikia kila Mtanganyika ili atatue changamoto yake?

Serikali ina muundo thabiti kuanzia Mwenyekiti wa Kijiji, kata, Diwani, DED, mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, hawa wote washindwe kutatua changamoto imngoje Waziri mkuu

Yani Leo Waziri mkuu anashindwa kupitia sera za kiuchumi kimataifa, masuala ya kidplomasia, utendaji wa serikali na mikataba ya serikali, yupo Sumbawanga anatatua changamoto za mama ntilie kuuza ubwabwa sokoni

Tumekinajisi sana cheo cha Waziri mkuu, labda hatujui maana yake

Yaani serikali inajaza mafuta na v8 40 kwenye msafara kwenda kutatua changamoto ya wanawake wa bar kuvaa min skirt au mama ntilie kuuza ubwabwa Kwa sokoni

Ila Tanganyika 😅
Kuna serikali Tz kwa sasa?
 
Kwani, viongozi walio chini yake wako wapi? Kwanini yeye azunguke kote huko? Mawaziri, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, Wakurugenzi na Wenye Viti wa Halmashauri wanafanya nini?
 
Back
Top Bottom