Nasikitishwa kuona Waziri Mkuu anazurura mtaani ati anatatua changamoto

Huyo hata akirudi ofisini hajui aanzie wapi, anatoka tena. Ni kama kapagawa kabisa.
 
Anaend3sha baskeli huku anakula muwa anaaminisha watu kuwa pamoja na wizi wa mali na fedha za umma unaofanyika, umaskini bado ni haki y kila mwananchi wa kitanzania aishie ukimani
Nyerere alituachia spirit mbaya sana ya kuamini umasikini ndio uzalendo na kipimo cha uadilifu na upendo kwa nchi yako. Viongozi nao wanapitia humo humo.

Wanajifanya watu wa chini. Ukichungulia posho na mishahara yao ni kufuru. Hapo bado hawajapiga madili
 
Anawaonesha watendaji wa chini vipaumbele vyake katika awamu yake wanapaswa wazingatie kero za wananchi nasio kuziacha hewani..pia kwakuwa ndo mara ya kwanza yeye kuwa PM analazimika ajiridhishe huko chini kumekaeje na kuwastua kuwa waamke wasifanye kazi kwa mazoea..huko unakotaka aje napo atakuja kwani ndio mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali...binafsi sioni ajabu hapo labda kama unalingine..Mwigulu ameanza vizuri tumpe mda na ushirikiano...Anachapa kazi kweli kweli..sema tu anajitengenezea vita kwa wale wasio muelewa kama wewe.
 
Mhii waleqale akili kisoda
 
Maduro anajipigia assist, hata ivo malalamiko ya watu wengi wanyonge ni dhidi ya uongozi wa juu na watu matajiri wenye network na sirikali ova.
 
Ubongo wa bata
 
Ukielewa analipwa shs ngapi,na wale anaofuatana nao,na gharama ya jumlani shilibgi ngapi kwamlipakodi,utalia machozi!

Hawa wapo kwa ajili ya mafao ya safari, hamna lolote!
 
Ukielewa analipwa shs ngapi,na wale anaofuatana nao,na gharama ya jumlani shilibgi ngapi kwamlipakodi,utalia machozi!

Hawa wapo kwa ajili ya mafao ya safari, hamna lolote!
Tuna hali ngumu mno Watanganyika
 
Hivi ushawahi kuona wapi Waziri mkuu wa UK Yuko mitaani anatatua changamoto za wananchi?
Mkuu, tukiweka comparison hapa tutachoka kwanza tuanze kwenye speech tu, speech ya kwetu unakuta greetings kibao watu wanawasalimia mpaka waume na wake zao kwenye speech hio yaan speech inakua na greetings ndefu kupindukia mpaka unajiuliza hiki nini, wewe speech salimia salamu moja tiririka sio unataka kumsalimia kila mtu natambua uwepo wa .... natambua uwepo wa .... oya si wote ni wageni waarikwa unatambua unatambua nini pumbavu unapoteza muda shenzi kabisa wewe fungua speech kwa salamu moja kwa wote inatosha sio unaanza kumtambua kila mtu umekaa tu unapoteza muda kijinga Mheshimiwa ndugu fulani fulani muheshimiwa ndugu fulani fulani na pia natambua uwepo wa ndugu fulani fulani oya unapoteza muda toa salamu moja kwa wote turahisishe muda, sometimes hua natamani kuwatia makofi ila ndio hivyo tu huko mbele hakuna ufala wa namna hii greetings ni moja kwa wote mtu anatiririka hivi mfano ushawahi msikia Trump akiwa anatoa speech anaanza kutambulisha kila mtu alieudhuria kwenye hio speech natambua uwepo wa Chifu of Security Defence Force natambua uwepo wa Minister of Defence natambua uwepo wa.... heeey fanya salamu moja kwa wote shuka speech yako maliza amsha popo hatupo kwenye kitchen party unatupotezea muda na speech yenyewe unaweza uongee pumba tu mwanzo mwisho salamu kibao
 
Kuna tatizo mahala
 
Mmeanza dharau sasa, kwani mama ntilie sio watu? sio wapiga kura?? Nao wana shida zao ambazo zimeshindikana kutatuliwa na mamlaka, kwahio mnataka atatue shida za mafisadi tu au wasomi tu. Angefanya ziara za kimataifa mngepiga kelele humu kua anasafiri sana, sasa ameamua kupiga local bado mnalaumu, hii nchi ina watu wa ajabu sana ambao wanapenda kulaumu kila kitu.
Tatizo kuna kakikundi kamelenga 2030 na machawa wao.
 
Ubongo wa bata πŸ¦†
 
Hii ni utawala toka enzi za uhuru kushindwa kuunda mifumo inayowalazimisha waajiriwa wote wa serikali watimize wajibu wao vema.

Mtu moja atafika sehemu ngapi za nchi hii kubwa?
 
Hii ni utawala toka enzi za uhuru kushindwa kuunda mifumo inayowalazimisha waajiriwa wote wa serikali watimize wajibu wao vema.

Mtu moja atafika sehemu ngapi za nchi hii kubwa?
Katiba mpya ndo suluhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…