Nasikitishwa kuona Waziri Mkuu anazurura mtaani ati anatatua changamoto

Walalamikaji njooni na solutions....tunakumbuka hata JPM hizi changamoto alikutana nazo .....tufanye nini ? Mimi naona ni utitiri wa viongozi wengi wasio na maana na mwingiliano wa majukumu viongozi wapunguzwe tujue maana ya kila ndio maana unakuta hata bunge linaangolea matundu ya vyoo ilhahali changamoto ni nyingine ila tuliokua nao sio watatuaji wa shida
 
Kuna serikali Tz kwa sasa?
 
Kwani, viongozi walio chini yake wako wapi? Kwanini yeye azunguke kote huko? Mawaziri, Wakuu wa Mikoa/Wilaya, Wakurugenzi na Wenye Viti wa Halmashauri wanafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…