Nasikitishwa sana na majibu ya dharau ya Rais Magufuli kwa Watanzania

Rais kila jambo analofanya, elewa kuwa nyuma yake huwa kuna sababu za ki-intelijensia pia. Hapo ulipo unamuona ni mtu mkubwa Rais wa Nchi lakini na yeye pia hapo alipo ana watu ambao almost ni mabosi wake, na wanaamua kila kitu anachofanya. Unaweza kumuona yuko Chato sasa hivi kumbe yeye wala siyo maamuzi yake, anatamani kuwa magogoni na wachuuzi wa samaki amewamiss, lakini kuna kabwana mdogo tu pale alipo kanamwambia, Mh Rais magaogoni tutakwenda siku nyingine, muda bado. Tusiwe tunabwabwaja tu mambo kwenye mitandao, tuwe tunafikiria kwanza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…