Nasimama na bunge la Iraq kuhalalisha ndoa za wasichana wenye umri wa miaka 9

Status
Not open for further replies.
Kumtongoza mtoto ambaye hajavunja ungo ni kukiuka haki yake ya maamuzi kwakuwa bado ni mdogo kuweza kuamua hatima ya maisha yake.
Mtoto asiye vunja ungo hata hamu ya kushiriki mambo ya ndoa huwa hana.
Sasa unawezaje kumshawishi mambo ya ndoa wakati hajafikia maamuzi ya kuolewa ?
Tena anashawishiwa na mtu mzima ambaye kesha tengeneza maisha yake kwa kusoma, kuajiriwa au kupata mitaji ya kuendesha maisha yake.

Nchi za kiislamu zenye hiyo sheria inatumika kuvioa vitoto vya toka familia duni inayo hitaji mahali kama mtaji wa kuendesha familia zao.
Na watoto huwa wanalazimishwa tu kuolewa na watu wazima wenye maisha yao.
Tena utakuta huyo mtoto anaolewa na kuwa mke wa pili au wa tatu au wa nne.

Hivi kuna mapenzi gani kati ya mtoto mwenye miaka tisa na mzee wa miaka 70 ?
Amini umekaririshwa tu ila zamani haikuwa hivyo. Kinachoamua utashi wa mtu siyo umri bali maarifa aliyonayo. Hata uwe na miaka 30 kama hauna maarifa na taarifa sahihi utafanya maamuzi ya hovyo tu
 
Kumtongoza mtoto ambaye hajavunja ungo ni kukiuka haki yake ya maamuzi kwakuwa bado ni mdogo kuweza kuamua hatima ya maisha yake.
Mtoto asiye vunja ungo hata hamu ya kushiriki mambo ya ndoa huwa hana.
Sasa unawezaje kumshawishi mambo ya ndoa wakati hajafikia maamuzi ya kuolewa ?
Tena anashawishiwa na mtu mzima ambaye kesha tengeneza maisha yake kwa kusoma, kuajiriwa au kupata mitaji ya kuendesha maisha yake.

Nchi za kiislamu zenye hiyo sheria inatumika kuvioa vitoto vya toka familia duni inayo hitaji mahali kama mtaji wa kuendesha familia zao.
Na watoto huwa wanalazimishwa tu kuolewa na watu wazima wenye maisha yao.
Tena utakuta huyo mtoto anaolewa na kuwa mke wa pili au wa tatu au wa nne.

Hivi kuna mapenzi gani kati ya mtoto mwenye miaka tisa na mzee wa miaka 70 ?
It is the part of the universe we have to learn how do live with it
 
Hapana, nimekuuliza wewe, mbona ni swali jepesi

Kama una mtoto wa kike ambaye amevunja ungo akiwa na miaka 11. Utamruhusu aolewe

Au nikurahisishie zaidi, utapenda mtoto wako wa kike ukimuona kaolewa katika hali hii

View attachment 3215492
Hakuna Binadamu mwenye akili timamu atafurahia hii hali ya ndoa.
 
Kama una binti yako ana miaka 13 au 14 , chances are anaweza kuwa na ex boyfriend. Wasichana wanaanza wakiwa wadogo Kuliko unavyo weza kufikiri.
Nimekuuliza utakuwa tayari maana jibu ni rahisi. Mbona unaepuka kujibu swali

Nimekuuliza binti yako akivunja ungo akiwa na umri wa miaka 11.utamruhusu aposwe na kuolewa

Nimekuuliza wewe kama wewe, sio mabinti wa wengine. Ila wewe binafsi. Watamkie mabinti wa kizazi chako kuwa wakivunja ungo wakiwa na umri wa miaka 11, upo radhi waolewe namna hii

Mbona rahisi tu. Sema ndio nipo tayari.. Kuna uzito gani mkuu

images - 2025-01-27T122043.241.jpeg
 
Kama una binti yako ana miaka 13 au 14 , chances are anaweza kuwa na ex boyfriend. Wasichana wanaanza wakiwa wadogo Kuliko unavyo weza kufikiri.
Nimekuuliza utakuwa tayari maana jibu ni rahisi. Mbona unaepuka kujibu swali

Nimekuuliza binti yako akivunja ungo akiwa na umri wa miaka 11.utamruhusu aposwe na kuolewa

Nimekuuliza wewe kama wewe, sio mabingi wa wengine. Ila wewe binafsi. Watamkie mabinti wa kizazi chako kuwa wakivunja ungo wakiwa na umri wa miaka 11, upo radhi waolewe namna hii

Mbona rahisi tu. Sema ndio nipo tayari.. Kuna uzito gani mkuu

View attachment 3215494
 
Hakuna Binadamu mwenye akili timamu atafurahia hii hali ya ndoa.
Ndio maana nikamuuliza yeye anayetetea

Kuwa kama yule binti yake nyumbani au mtoto wa ndugu zake mwenye umri huo. Akimtazama anaona yupo tayari kwa kuolewa

Lakini naona anaepuka kulijibu swali jepesi kabisa
 
Hana akili mtoto wa miaka 9 hata ute hawezi toka
 
Nimekuuliza utakuwa tayari maana jibu ni rahisi. Mbona unaepuka kujibu swali

Nimekuuliza binti yako akivunja ungo akiwa na umri wa miaka 11.utamruhusu aposwe na kuolewa

Nimekuuliza wewe kama wewe, sio mabingi wa wengine. Ila wewe binafsi. Watamkie mabinti wa kizazi chako kuwa wakivunja ungo wakiwa na umri wa miaka 11,

Inaonekana Upo so much obsessed na mafundisho ya mitume na manabii " maneno yanaumba, agano blah blah blah🤣🤣🤣

Eti unadhani nikitamka hivyo ndio nitakuwa nimeingia kwenye Hilo agano,🤣🤣🤣.

Kama ni msichana kwanini asichumbiwe?
upo radhi waolewe namna hii

Mbona rahisi tu. Sema ndio nipo tayari.. Kuna uzito gani mkuu

View attachment 3215494
 
Hizo picha za ndoa ya vitoto vya kike katika Post Namba 18 hakuna Binadamu mwenye akili timamu atazikubali.
Hiyo vitoto vingine ni chini ya miaka 6 kabisa.

Aghanistani kuna Kesi nyingi za vitoto vilivyo ozeshwa bila hiari yao kufariki siku ya kwanza ya kufanyiwa tendo la ndoa.

Huwa vinachanwa na kuvuja damu hadi kifo, hakuna wa kuvilinda.
Umasikini una wasukuma wazazi wa vitoto ili wajikwamue kiuchumi kupitia mahari.
 
Childhood innocence destroyed...

Permanent psychological trauma...

Barbaric and satanic! 🚮🚮🚮
Umewaza kama wazungu. Ukiwatoa wazungu kichwani mwako ukawaza wewe kama Wewe wala huwezi kufikiri hivyo
 
Unasimama na bunge la Iraq.

Ila hutaki binti yako mwenyewe wa kumzaa aje aposwe na wanaume.

Huu ni unafiki wa kila anayekubaliana na hiyo sheria iliyopitishwa.

Wewe mwenyewe hauko tayari kuona binti yako anachombezwa chombezwa na wanaume akiwa below 18.

Ila una shadadia mabinti wengine waposwe wakiwa below 18!

Hakuna mwanaume yeyote mwenye akili timamu ataruhusu binti afanyiwe hivi.
 
Hizo picha za ndoa ya vitoto vya kike katika Post Namba 18 hakuna Binadamu mwenye alili timamu atazikubali.
Hiyo vitoto vingine ni chini ya miaka 6 kabisa.

Aghanistani kuna Kesi nyingi za vitoto vilivyo ozeshwa bila hiari yao kufariki siku ya kwanza ya kufanyiwa tendo la ndoa.

Huwa vinachanwa na kuvuja damu hadi kifo, hakuna wa kuvilinda.
Umasikini una wasukuma wazazi wa vitoto ili wajikwamue kiuchumi kupitia mahari.
Muongo
 
Unasimama na bunge la Iraq.

Ila hutaki binti yako mwenyewe wa kumzaa aje aposwe na wanaume.

Huu ni unafiki wa kila anayekubaliana na hiyo sheria iliyopitishwa.

Wewe mwenyewe hauko tayari kuona binti yako anachombezwa chombezwa na wanaume akiwa below 18.

Ila una shadadia mabinti wengine waposwe wakiwa below 18!

Hakuna mwanaume yeyote mwenye akili timamu ataruhusu binti afanyiwe hivi.
Huyuuu jamaaa chizi mtoto wake wa miaka 9 utakubali aolewe
 
Unasimama na bunge la Iraq.

Ila hutaki binti yako mwenyewe wa kumzaa aje aposwe na wanaume.

Huu ni unafiki wa kila anayekubaliana na hiyo sheria iliyopitishwa.

Wewe mwenyewe hauko tayari kuona binti yako anachombezwa chombezwa na wanaume akiwa below 18.

Ila una shadadia mabinti wengine waposwe wakiwa below 18!

Hakuna mwanaume yeyote mwenye akili timamu ataruhusu binti afanyiwe hivi.
Binti yangu ana miaka 18. Angekuwa na umri huo na Sheria ingeruhusu kwa utaratibu huo Mimi ni nani hata nikatae?

Mwisho wa mwanamke ni kuolewa.

Acheni Ku complicate mambo.
 
Uongo sana wewe uko tayar bint yako wa miaka 9 aolewe
 
Inaonekana Upo so much obsessed na mafundisho ya mitume na manabii " maneno yanaumba, agano blah blah blah🤣🤣🤣

Eti unadhani nikitamka hivyo ndio nitakuwa nimeingia kwenye Hilo agano,🤣🤣🤣.

Kama ni msichana kwanini asichumbiwe?
Naona unapambana na concious yako kiasi cha kuongea kwa third party.

ili nione kweli una msimamo na umesimama na hilo bunge thabiti.

Si unasema tu,

Nipo tayari

Yule binti yako akivunja ungo akiwa na umri wa miaka 11 .. Upo tayari aposwe na kuolewa

Simple as that
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom