Nasimama na Chalamila mimba sio dharura. Miezi tisa ulitakiwa kujipanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
 
80% ya uchumi umemilikiwa na mlalahoi (mkulima, mfugaji na wawindaji)

aina hii ya watu ni wale wasiokuwa na elimu pana kuhusu Afya, biashara, uchumi ama siasa.

Kiufupi aina hii ya watu hawajui kupanga kuhusu Mambo ya Familia zao hasa uzazi wa mpango ama biashara na kanuni za fedha

unapotamka kiujumla kwamba jambo kama hilo si dharula, unakosea sana..
 
Umesema yote lakini umesahau kuwa

1. Kuna mazingira yanamfanya mtu kushindwa kitu hata kama itaonekana kwa wengine ana uwezo huo.

2. Mwananchi anapomfata kiongozi anafahamu anaweza kusaidiwa shida yake hata kama hatotatuliwa lakini maneno mazuri ya kiongozi yatamsaidia.

3. Kauli hiyo itachochea ubovu wa huduma na kuadimika kwa vifaa tiba kwa maskini. Matokeo yake itapelekea vifo kwa wajawazito.

4. Mimba sio dharura ni suala la kupanga kwa miezi tisa lakini dharura inapotokea ndio itafanya iwe dharura.

5. Watanzania wengi ni maskini na vipato vya wengi ni vya kubangaiza hivyo zinapokuwepo huduma mbalimbali za bila malipo mtu anafarijika.

6. Kuna mazingira tofauti ya mtu aliyopata ujauzito. Kuna wengine wamebakwa lakini waliona hakuna sababu ya kutoa mimba hivyo kama mtu alibakwa na hakujiandaa hili suala linakuwa ni dharura haijalishi

7. Kuna watu wanafia hospitalini kwa kukosa 20000 tu ya matibabu achilia mbali hiyo ilikuwa ni 50000.
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Personal Protective Equipment (PPE) kama vile gloves, masks, etc. ni supplies za kawaida sana kwa medical professionals. Ni kama vitendeakazi vyao. Hata kumpiga sindano (au kumshika kwa namna yoyote) mgonjwa, nurse anapaswa kuwa amevaa gloves. Kwa hiyo, sio sahihi kukomaa kwamba wanaokwenda kujifungua wanunue gloves wakati wanaokwenda kupigwa sindano au kufungwa vidonda hawakomaliwi kununua gloves!
 
Mkuu kila mahali inajulikana huwa kunakuwa na exceptions, serikali inaweza kuandaa utaratibu maalumu kwa wale wachache wenye uhitaji maalumu ila umaskini sio uhitaji maalumu, badala yake serikali irudishe elimu na msisitizo wa uzazi wa mpango watu wajipange kabla ya kuzaa.
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
downloadfile-2.jpg
 
Personal Protective Equipment (PPE) kama vile gloves, masks, etc. ni supplies za kawaida sana kwa medical professionals. Ni kama vitendeakazi vyao. Hata kumpiga sindano (au kumshika kwa namna yoyote) mgonjwa, nurse anapaswa kuwa amevaa gloves. Kwa hiyo, sio sahihi kukomaa kwamba wanaokwenda kujifungua wanunue gloves wakati wanaokwenda kupigwa sindano au kufungwa vidonda hawakomaliwi kununua gloves!
Hiyo gloves ni lugha tu inayomaanisha kuchangia matibabu, hakuna gloves za 50,000 za kutumia mtu mmoja.
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Ndio nchi ilipofikia, wenye ela wanazarau wasio nazo
 
Umesema yote lakini umesahau kuwa

1. Kuna mazingira yanamfanya mtu kushindwa kitu hata kama itaonekana kwa wengine ana uwezo huo.

2. Mwananchi anapomfata kiongozi anafahamu anaweza kusaidiwa shida yake hata kama hatotatuliwa lakini maneno mazuri ya kiongozi yatamsaidia.

3. Kauli hiyo itachochea ubovu wa huduma na kuadimika kwa vifaa tiba kwa maskini. Matokeo yake itapelekea vifo kwa wajawazito.

4. Mimba sio dharura ni suala la kupanga kwa miezi tisa lakini dharura inapotokea ndio itafanya iwe dharura.

5. Watanzania wengi ni maskini na vipato vya wengi ni vya kubangaiza hivyo zinapokuwepo huduma mbalimbali za bila malipo mtu anafarijika.

6. Kuna mazingira tofauti ya mtu aliyopata ujauzito. Kuna wengine wamebakwa lakini waliona hakuna sababu ya kutoa mimba hivyo kama mtu alibakwa na hakujiandaa hili suala linakuwa ni dharura haijalishi

7. Kuna watu wanafia hospitalini kwa kukosa 20000 tu ya matibabu achilia mbali hiyo ilikuwa ni 50000.
Yote juu ya yote,magonjwa nengine yanaeleweka ila mimba ni swala la kujiipanga miezi tisa
 
Back
Top Bottom