LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Pia Wakumbushe bei ya Kondom ni 1000 tuUnabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.
Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.
Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.