Nasimama na Chalamila mimba sio dharura. Miezi tisa ulitakiwa kujipanga

Nasimama na Chalamila mimba sio dharura. Miezi tisa ulitakiwa kujipanga

Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Pia Wakumbushe bei ya Kondom ni 1000 tu
 
Personal Protective Equipment (PPE) kama vile gloves, masks, etc. ni supplies za kawaida sana kwa medical professionals. Ni kama vitendeakazi vyao. Hata kumpiga sindano (au kumshika kwa namna yoyote) mgonjwa, nurse anapaswa kuwa amevaa gloves. Kwa hiyo, sio sahihi kukomaa kwamba wanaokwenda kujifungua wanunue gloves wakati wanaokwenda kupigwa sindano au kufungwa vidonda hawakomaliwi kununua gloves!
Mkuu kuna watu wengine wana mihemko kiasi wanashindwa kuona uhalisia wa maisha ya watanzania walio wengi, cha kujiuliza ni kuwa sera ya afya kwa akina mama wajawazito inasemaje?

Sasa hapo nani amekosea? Je serikali imetoa au kubadilisha sera hii kwamba sasa hivi mjamzito akienda kujifungua atoe sh 50000? Kama kusafisha vidonda inatumika gloves lakini hachangii kwa nini mjamzito achangie hela yote hiyo kinyume na directives?

Kubwa ni kuwa kiongozi unatakiwa kuongoza, na uongoze kwa hekima. Hapo Chalamila hajatumia hekima, na 90% ya wanaomsapoti ni waliozoea kwenda bar akatumia 50,000/ na asione tatizo.
 
Kuna watu hawana uhakika wa kutunza tu pesa ya kula kesho unadhani mtu wa namna hiyo anaweza akatunza pesa ya vifaa miezi Tisa? Situations za maisha hazijawahi kuwa sawa.
Kama unajitafuta usizae
 
Kujiandaa katika kila jambo ni kitu cha muhimu mno mno, tatizo langu lipo hapo kama serikali haiwezi ku supply gloves za kutosha mpaka kuagiza wajawazito waziandae kuna nini tenaa hapo.
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Chalamila hajawahi kuwa na akili.
 
Kuna Zahanati moja katika mkoa mmojà, nurse aliweka mkakati mama akijifungua lazima Baba alete nguo mpya alizopanga nurse mpaka taulo la mtoto, aliweka sheria akina mama walikuwa wanamshukuru mhudumu, anakwambia huyu mtoto wa 4 lakini sijawahi mnunua mtoto taulo namfunga mitambala chakavu tu, kahiyo ilikuwa mke akipata ujauzito akienda kujifungua kumchukua mzazi lazima kukaguliwa nguo mpya , wakati mwingine binadamu hatujielewi kàbísa miezi 9,
 
Unakuta mtu kapata mimba Kwa kujipanga kila siku miguu ya kuku na firigisi anakula lakini kununua hata kipande cha kitenge hawazi 😀
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Kabisa.. Ni kweli. Chalamila yupo sahihi.
 
Itokee bahati mbaya lakini mtoto wa nne au 3 usijiandaye jamani? Natokea yake mnakutana na kauli za kina chalamila, wakati wa ujauzito vipapatio Kwa wingi lakini mtu hakumbuki vifaa, ila wakati mwingine kuongoza watu kama wabongo inahitaji moyo mkuu
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Vipapatio vya kuku na miguu na firigisi kila siku anakula, lakini kununua vifaa hawezi
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Wanalindwa na sera za nchi vinginevyo serikali iweke wazi kuwa mambo yamebadilika na si kutapeli watu kwa kuwahadaa kwamba watahudumiwa bure ilhali wakifika hospitali wanakuta mambo sivyo yalivyo.
Screenshot_20250126-223325.jpg
Screenshot_20250126-223355.jpg
 
Kujiandaa katika kila jambo ni kitu cha muhimu mno mno, tatizo langu lipo hapo kama serikali haiwezi ku supply gloves za kutosha mpaka kuagiza wajawazito waziandae kuna nini tenaa hapo.
Mbona mgonjwa anapochomwa sindano nurses huvaa gloves na hawasemi kuwa mgonjwa wa kuchomwa sindano aje na gloves zake, kwa nini wawakomalie wamama wanaojifungua huku sera za nchi zimewapa exemption ya kulipia huduma za kujifungua.
 
Huu ujumbe wa Chalamila ulikuwa unamlenga yule Batazari mboro ndefu, xuma kwa jirani
Wanaume tumeaibika unapeleka kuzaa huna chapa mbovu mfukoni....
 
Unabeba mimba siku ya Valentine ukijua kabisa December hutoboi.

Weka hata buku kila siku,
Kuna vigogo waeili waliofariki nwaka jana waneacha watoto wawili tu kila mmoja.

Wewe choka mbaya unazaa kila mwaka.
Mwambie hii statement yule alikuleta wewe duniani atakuwa na majibu sahihi kwako.
 
MLEVI NA MCHUNGAJI WAMEKUTANA

MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!?

MLEVI; "Ndio.

MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia
ngapi!?

MLEVI; "Nakunywa bia tano!

MCHUNGAJI; "Bia moja bei gani!?

MLEVU; "2500/

MCHUNGAJI; "Ulianza lini kunywa bia!?

MLEVI; "Miaka 18 iliyopita!

MCHUNGAJI; "Kwa hiyo kwa siku
unatumia zaidi ya 10,000??

MLEVI; "Ndio!

MCHUNGAJI; "Kama u gekuwa unatunza
hiyo pesa 10,000 kwa siku leo hii si
ungekuwa na Range Rover!?

MLEVI; "Samahani, naweza kukuuliza
swali!?

MCHUNGAJI; "Uliza!

MLEVI; "Unakunywa bia!?

MCHUNGAJI; "Hapana!

MLEVI; "Nionyeshe Range Rover yako!

Pesa kwa watu wanaoingia kazini kwa ajili ya kutafuta chakula cha siku husika haifanyi kazi katika namna hiyo unayopendekesha. Shukuru kwa kila jambo.
 
Mbona mgonjwa anapochomwa sindano nurses huvaa gloves na hawasemi kuwa mgonjwa wa kuchomwa sindano aje na gloves zake, kwa nini wawakomalie wamama wanaojifungua huku sera za nchi zimewapa exemption ya kulipia huduma za kujifungua.
Ndio hapo sasa gloves nazo za kumsimangia mtu eti akajifungulie home, hapo wananchi wanatakiwa kupaza sauti na sio kuunga mkono au kuchekea upuuzi kama huu
 
Back
Top Bottom