Nasimama na Haji Manara

Nasimama na Haji Manara

Kuanzia Siku ya Jumatano hadi leo ndizo siku nilizoongea na simu nyingi zaidi na kwa muda mrefu pengine kuliko Siku zote za maisha yangu..
Lakini WhatsApp na DM ndio ilikuwa balaa, hapo usiniulize SMS na E-mail.

Yes kila mmoja akiniambia lake , kiukweli nimewasikia na kama Binadaam acha tungoje asili ichukue nafasi yake.

Mwenyekiti wa Simba HQ Farouk Baghoza TSN , Mbunge na Mwanachama wetu maarufu Mh @jmakamba , Makamu Mwenyekiti wa Bodi Salim Try Again , ambao tumefanya conference calls nyingi na wote wengine nimewaelewa.

Sitaongea lolote Kwa sasa nikiamini katika maslahi makubwa ya Simba, team ya maisha yangu.

Captain wangu @john_22_bocco always naamini ktk ww linapokuja Nahodha wa mfano, tuliongea nikiwa ktk bad mood lakini nasaha zako na Kwa heshma ya jana ninakataaje Kwa mfano kukusikiliza?

Washabiki wote wa Simba na Waandishi mliokuwa na hami na press yangu Am Sorry , acheni Ibilisi aepukwe ngoja tusubiri mchanga wa Pwani.

Kimsingi nimemaliza sina lingine ila walioumia Kwa ajili ya Simba ,again poleni na Samahani.

Kwa wale akina sie niwaambie ndoo ya maji haijazwi upepo

Af'wan [emoji120]

Ameshasanda uyo[emoji1318][emoji1318]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Ajabu Ya Hili Sakata Wana utopolo Ndo Wanaomtetea Manara.... wakati ndiye alikuwa adui yao no.1 , Huyu Kashanyea Kambi alikuwa anaondoa dhana Ya Simba ya 'Nguvu Moja' Kipindi ambacho Mshikamano ulikuwa Unahitajika Sana....! Sasa Utopolo ndo mshalikosa Kombe mnahamia kwenye Fitna....Simba inawaza Ngao Ya Jamii....ni mwendo Wa Kukusanya tu.
 
Wewe ni mjinga kama uyo unaemtetea hapa, Simba ni taasisi kubwa kuliko uyo mtu,na haitakaa itokee kiumbe yeyote kwenye Simba awe mkubwa kuliko Simba.

Sote tunajua kabla MO kurudi tena Simba, tulikaa miaka minne bila kikombe chochote,uyo Manara alikuwepo hapo simba mbona hakufanya hio hamasa anayojinasibu nayo?! MO ndio ameleta mafaniko yote hayo akishirikiana na watu waaminifu ndani ya Simba,uyu mtu kupewa nafasi ya kuwa msemaji tu ya mafanikio yetu sio kwamba yeye ndio ameyaleta.

Kuhusu suala la mshahala ajiulize kabla ya MO kuja Simba alikuwepo hapo Simba, alikuwa analipwa hata huo mshahala anao huona ni mdogo!!

Alivyokuwa mwalimu wa madrasa alikuwa analipwa?! Aliyokuwa uhuru FM alikuwa analipwa kiasi anacholipwa sasa?! Alivyokuwa mwenezi CCM mkoa, alikuwa analipwa bei gani?! Kabla ya MO kuja simba hao Azam GSM na Asas walikuwa hawamuoni kumpa mkataba wa matangazo?! Awe na heshima na akae kwa kutulia.
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Simbasc nauomba uongozi wa simba umtoe kwenye hio nafasi ya usemaji kwa maslah ya Simba kwa siku zijazo.

Sio muaminifu na hana weredi kama wenzake wakina Juma Nkhamia,Ezekie Kamwaga,Marehemu Asha Muhaji,Cliford Ndimbo,wote hao wamepita Simba lakini hatujawahi kusikia maneno wala tabia ya kugombana na viongozi wao, kwanini iwe yeye kila siku?! wakati wake umeisha akae pembeni,uongozi ukimpuuzia atakuja kuleta taharuki kubwa uko mbeleni.
 
UKISIMAMA NAYE AU UKIINAMA NAYE SISI HAITUHUSU. TUNAFURAHIA UBINGWA. UTOPOLO MKUBWA WEWE.
IMG-20210726-WA0045.jpg

Hatutaki kuongea mengi juu ya Sakata hili. Mpaka sasa kosa la Manara ni moja tu, Kuanzisha malumbano wakati tunakaribia kucheza derby.

Tuhuma nyingine bado hakuna uthibitisho maana kwenda sehemu haimaanishi umekwenda kusaliti. Tutawadai ushahidi wa huo usaliti wa Manara.

Babra Umeletwa na Mo kuja kusimamia pesa zake. Manara yupo kitambo.

Manara amekuwa kama jalala anatukanwa sana simba ikifungwa. Makosa ya wachezaji anayukanwa Manara.

Waandihi wengi sana ni Mashabiki ( Dauda na Kitenge)wa Yanga, wamejaribu kuibomoa Simba lakini Manara amasimama kupabana nao. Manara amejenga maadui wengi sababu ya Simba.Tunajua inatumika nguvu sana kuchochea huu mgogoro.

Mo dewj anapata Nguvu ya kuwekeza sababu Manara ameshafanya hamasana na kupata wafuasi kwa Simba.

Suala la kumlipa laki saba.
Hapo Simba ndio wasaliti kwa Manara na wanasimba wote. Unamlipa Manara sawa na mlinzi wa getini?

Tuko tayari kuchangia hiyo laki saba kilawezi nyie bakini na hiyo laki saba yenu.

Unamlipa laki saba na unataka kumzuwia sifanye kazi zingine mpaka unamchagulia marafiki. Haiwezekani.

Msione tuko kimya, Derby imepita sasa turudi kwenye jambo letu.

Manara anajua uozo mwingi, mnapo chokozana naye muwe mmejiandaa kisaikolojia.

Angalizo: Manara ni kipaji sio Elimu kama Babra. Angalia Yanga wanavyo hangaika kutafuta watu wa kupambana Manara na bado wamefeli.

Nitoe mfano: Mechi ya leo Kigoma, Barua ya Yanga kumkataa refa imeobekana uwanjani, refa amechezesha kuwafurahisha Yanga. Tulihitaji maneno ya Manara kubalance mambo kabla ya mechi.

Msidanganywe Manara anawatu wengi sana tena Sana.

Malizeni haya mambo ndani ya Club, hatutakia matangazo wala press za kuvurugana.
 
Wewe ni mjinga kama uyo unaemtetea hapa, Simba ni taasisi kubwa kuliko uyo mtu,na haitakaa itokee kiumbe yeyote kwenye Simba awe mkubwa kuliko Simba.

Sote tunajua kabla MO kurudi tena Simba, tulikaa miaka minne bila kikombe chochote,uyo Manara alikuwepo hapo simba mbona hakufanya hio hamasa anayojinasibu nayo?! MO ndio ameleta mafaniko yote hayo akishirikiana na watu waaminifu ndani ya Simba,uyu mtu kupewa nafasi ya kuwa msemaji tu ya mafanikio yetu sio kwamba yeye ndio ameyaleta.

Kuhusu suala la mshahala ajiulize kabla ya MO kuja Simba alikuwepo hapo Simba, alikuwa analipwa hata huo mshahala anao huona ni mdogo!!

Alivyokuwa mwalimu wa madrasa alikuwa analipwa?! Aliyokuwa uhuru FM alikuwa analipwa kiasi anacholipwa sasa?! Alivyokuwa mwenezi CCM mkoa, alikuwa analipwa bei gani?! Kabla ya MO kuja simba hao Azam GSM na Asas walikuwa hawamuoni kumpa mkataba wa matangazo?! Awe na heshima na akae kwa kutulia.
Mimi kama shabiki na mwanachama wa Simbasc nauomba uongozi wa simba umtoe kwenye hio nafasi ya usemaji kwa maslah ya Simba kwa siku zijazo.

Sio muaminifu na hana weredi kama wenzake wakina Juma Nkhamia,Ezekie Kamwaga,Marehemu Asha Muhaji,Cliford Ndimbo,wote hao wamepita Simba lakini hatujawahi kusikia maneno wala tabia ya kugombana na viongozi wao, kwanini iwe yeye kila siku?! wakati wake umeisha akae pembeni,uongozi ukimpuuzia atakuja kuleta taharuki kubwa uko mbeleni.
Huyu mshenzi wa tabia atimuliwe tu hana adabu huyu eti na yeye anaona mafanikio ya simba ni yeye kayaleta na eti hamasa yake ndo hujaza uwanjani, hafu ka kidume kweli mbona jana hakuitisha hyo press conference, na mambo ya ofisini mbona anayatoa mtandaoni na ana leta ugomvi kipindi timu inakabiliwa na mechi ngumu ili kuvuruga watu huyu hafai kwa kweli na anatumia ualibinism as excuse hata ya kutukana wengine. Naomba timu yangu impumzishe huyu kiherehere ili akawatumikie hao mabwana zake mfyuuuu zake kabisa
 
Kuanzia Siku ya Jumatano hadi leo ndizo siku nilizoongea na simu nyingi zaidi na kwa muda mrefu pengine kuliko Siku zote za maisha yangu..
Lakini WhatsApp na DM ndio ilikuwa balaa, hapo usiniulize SMS na E-mail.

Yes kila mmoja akiniambia lake , kiukweli nimewasikia na kama Binadaam acha tungoje asili ichukue nafasi yake.

Mwenyekiti wa Simba HQ Farouk Baghoza TSN , Mbunge na Mwanachama wetu maarufu Mh @jmakamba , Makamu Mwenyekiti wa Bodi Salim Try Again , ambao tumefanya conference calls nyingi na wote wengine nimewaelewa.

Sitaongea lolote Kwa sasa nikiamini katika maslahi makubwa ya Simba, team ya maisha yangu.

Captain wangu @john_22_bocco always naamini ktk ww linapokuja Nahodha wa mfano, tuliongea nikiwa ktk bad mood lakini nasaha zako na Kwa heshma ya jana ninakataaje Kwa mfano kukusikiliza?

Washabiki wote wa Simba na Waandishi mliokuwa na hami na press yangu Am Sorry , acheni Ibilisi aepukwe ngoja tusubiri mchanga wa Pwani.

Kimsingi nimemaliza sina lingine ila walioumia Kwa ajili ya Simba ,again poleni na Samahani.

Kwa wale akina sie niwaambie ndoo ya maji haijazwi upepo

Af'wan [emoji120]

Ameshasanda uyo[emoji1318][emoji1318]

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app

Kwisha khabar yake
 
Ni tofauti na unawajua wote,sema mzee Mpili namkubali hajawai kutoa maneno ya kashfa kwa mtu,mambo yake anafanya yeye na watu wake[emoji23].
Kwanza wewe Bujibuji unacheza namba ngapi kwenye soka[emoji23]?
Mi nacheza namba ya 🏴🏳️ halafu naingia hadi ndani ya dimba midadi ikipanda, yaani naweza hata kutoa pasi ya mwisho
 
Back
Top Bottom