Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

Nasimama na machangudoa, ni wapiga kura, walipa kodi, watoa huduma, wazalendo ni wana CCM

Kwa mujibu ya kitabu Cha biblia ukahaba ulikuwepo hata kipindi Cha musa
 
Habari za wakati huu;

Changudoa ni nani?Changudoa ni mwanamke/binti anayeruhusu mwili wake kutumika Kingoni kwa malipo.Je kinachofanya Changudoa awe changudoa ni nini?Je ni mavazi,Je ni kuwa Bar au night club usiku?Je ni kulala na mwanamke ili alipwe?au ni vyote kwa pamoja? Biashara hii kongwe ni uthibitisho kwamba Sio Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wala yeyote yule mwenye cheo au wadhifa anayeweza kuzuia aina hii ya mahusiano.Ndio maana mpaka leo kuna utaratibu wa kulipa mahari,kutunza mke na kuhonga ambazo kimsingi ni uthibitisho kwamba mahusiano ya kingono ni ya msingi wa nipe nikupe.

Biashara hii ya ukahaba inafanywa kwa ngazi tofauti tofauti na mazingita tofauti.Kuna wale ambao wanafanya huko kwenye maofisi na kupanda vyeo na mishahara kwa kutumia miili yao wapo wengi san na wengine hata kama wana uwezo kiutendaji bado hutumia miili yao ili kuharakisha kupanda kwao.Wapo ambao huenda DODOMA kila kipindi cha vikao vy BUnge ili waende wakagawane Posho na Wabunge maana wanajua wasipoenda Dodoma hawapati kitu.

Wapo ambao huambatana na misafara ya Viongozi wakubwa wa CCM wanapokuwa katika Ziara mikoani na wapo ambao huenda DODOMA kuapokuwa na VIKAO vya CCM. Wapo pia ambao hushiriki katika hamasa ndani ya chama cha CCM wakijiita Hamasa na utawakuta wakiwa na viongozi na wanachama wakiendelea kutoa huduma huku maisha yakiendelea na kujijenga kisiasa.Kwa wachache waliokuwa wanatumia kichwa au wenye elimu wametumi njia hiyo hiyo na kuoanda ngazi ndani ya chama na serikali mpaka wamefikia ngazi nzuri tu za uongozi.

Kiufupi hawa tunao waita machangaduo ndio wapiga kura,wafanya kampeni,walipa kodi na wazalendo namba moja katika Serikali na Taifa letu.Wanachangia katika pato la TAIFA kwa kiwango ambacho ni ngumu sana kwa matu mwingine kuelewea ila kiufupi kila BAR na NIGHT CLUB inayokesha huwa inachnagia sana katika mapato ya serikali kuu na serikali za mitaa kwa njia ya moja kwa moja na isiyo ya moja kwa moja.

Swali la kujiuliza ni kwa nini Wanapigwa VITA hawa watu?Ni kwa sababu ya kutafuta kiki ya kisiasa.SASA hawa wahalifu waliopewa SARE na SILAHA wanatumwa na kwenda bila kutazama PGO matokeo yake sasa wanajikuta wamebebshwa MURDER CASE.

Mimi binafsi nasimama na hawa dada zetu ambao baada ya serikali ya CCM kushindwa kuwaajiri wameamua kutumia kile ambacho Mungu amewapa ili wasongeshe maisha.

Serikali ya CCM imeshindwa kutafuta suluhu ya kiuchumi na kuendelea kujilimbikizia PESA,Mamlaka na Utajiri huku ikiwaacha kina dada hawa wakiendelea kuzama katika umaskini.

Na wao wameamua kujiongeza na kuwa watoa huduma. Huu ni uthibitisho kwamba Serikali ya CCM imeshindwa kwa kiwango cha JUU kabisa katika kutimiza wajibu wake wa msingi wa kuinua na kuboresha maisha ya wa tu wake.

Mimi natambua kwamba wapo machangudoa ambao wanawapa watoto wao elimu nzuri kwa kupitia kazi hiyo hiyo,Wanaishi mjini, wanalipa kodi, wanatunza wazazi wao,wanaishi maisha ya Standard kuliko hata watumishi wa umma kwa kupitia kazi yao hii na wateja wao ni wale wafujaji wa pesa za umma na wala rushwa wa nchi na wale wanaoipiga 10 percent kwenye deals za serikali pamoja na watu maarufu katika jamii.

Kama watanzania mkijifunza solidarity ya Machangaduo naamini kabisa Hata Katiba yetu tutaipata,na Serikali itajifunza kuheshimu na kusikiliza Raia.Tuongeze kasi kidogo nasi tutafika huko ni swala la MUDA.

Apumzika Kwa Amani aliyefariki katika tukio hili.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu Awalinde.
Naunga mkono hoja, tena wanatuokoa sana tuu, sema basi tuu kwa vile hawa hawana bahati ya kuuza kwa bei ya jumla inayoitwa mahari, na kutoa huduma hiyo kwa mteja mmoja anayeitwa mume, wao wanauza reja reja kwa wateja tofauti tofauti, ila bidhaa inayonunuliwa jumla kwa kulipiwa mahari na mtu kuitwa mke ni bidhaa ile ile inayouzwa reja reja kwa ambao hawajabahatika kupata mteja mmoja wa kununua jumla, na ndio maana nilishauri Opinion: It's high time Tanzania tuhalalishe "The Oldest Profession" na Ikiwezekana tu-legalize Marijuana
P
 
Wasomi wa kizazi cha sasa wasio na ajira ni bomu la siku zijazo sijajua serikali imejipanga vipi na hili kundi lisilo na ajira hapo baadae
 
Tuwapende machangudoa ni binadamu wenzetu, ila ukisinzia anakomba kila kitu
 
Back
Top Bottom