mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #41
Ahsante sana kwa swali zuri na fikirishi. Naomba kukujibu kama ifuatavyo:- ni kwamba sisi kama wazungu tulikaa na kujadili kwa mapana na marefu kuhusiana na suala la hili chanjo na majaribio yake. Kiukweli haikuwa kazi rahisi ila tumejitahidi sana katika jambo hili. Katika mikutanao yetu maazimio yalikuwa ni kwamba sehemu nzuri kwa majaribio ya chanjo zetu ni Africa kwa sababu hata kama chanjo itakuwa imesababisha matatizo kwao hatuna cha kupoteza. Pili, tumelenga afrika kwani ni itakuwa ni sehemu nzuri katika mkakati wa kibiashara, kama mjuavyo Afrika hawana uwezo wa kutengeneza dawa yoyote hivyo basi tukiwatia wasi wasi wa hali ya juu kuhusiana na hili gonjwa hakika itakuwa ni fursa nzuri sana ya kibiashara kwa sababu tutapata soko kubwa la kuuza chanjo zetu.
Kama nilivyojibu hapo juu ni kwamba Afrika ndiyo sehemu ya majaribio ya chanjo zetu kwa sababu nyie mna kinga za mwili zenye nguvu kubwa sana ambazo huwa haitingishiki kirahisi. Pili, hatuwezi fanya majaribio kwa wazungu wenzetu kwani hizo dawa zitatuumiza sana kutokana na asili ya miili yetu ilivyo. Tatu, shabaha kubwa ni Afrika ili tuweze kupata masoko ya kuuza chanjo zetu.
Hatuwezi kutumia nguvu ya kuhamasisha mafumo mzima wa maisha wakati tayari watu walitumia gharama kubwa katika kufanya utafiti na kutengeneza chanjo hiyo. Tukihamasisha hilo suala. Je watapataje gharama zao walizotumia kufanya utafiti na kugundua chanjo wakati wahusika wa WHO ndiyo hao hao ni moja ya watu watakaonufaika kupitia usambazaji wa hiyo chanjo?
Narudia kusema kwamba lengo siyo kukulinda wewe Mwafrika bali tunatafuta masoko kwa ajili ya kuuza bidhaa zetu ikiwa ni pamoja na chanjo zetu. Naomba ufanye marejeo ya majibu yangu hapo juu.
SUMMARY
1. Kutokana na ujinga na umasiki wenu na kupenda vitu vya bure tumeamua kwa Afrika iwe ni eneo la majaribio ya chanjo zetu.
2. Afrika ni sehemu sahihi ya kuuza bidhaa zetu(Potential area)
3. Mkikataa kuruhusu chanjo tutawabana tu kwenye mikopo yetu. Hivyo sidhani kama mtakuwa na jeuri ya kukataa chanzo zetu.
NB: wajinga ndio waliwao.
Ahsanteni na karibuni sana.
Kwa niaba ya wazungu.
Mdeni wangu umekuja na maneno konki☺☺☺