Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

Mdeni wangu umekuja na maneno konki☺☺☺
 
Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
Jibu hiro hapo, acheni kupotosha
 
Attachments

  • Screenshot_20210129-140356.png
    73.7 KB · Views: 1
4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
Hio hapa soma kwa sauti. IQ ya Watanzania ni ndogo muno
 
Attachments

  • Screenshot_20210129-140442.png
    47.6 KB · Views: 1
Wanaopanga kupunguza waafrika billion3 ndio haohao watoa chanjo

View attachment 1688987

RAIS MSTAAFU MZEE JAKAYA "Za kuambiwa changanya na zako"
Ujinga mwingine hata ni kinyaa kuujadili. Waafrika tulioko kwenye bara hili tupo 1.2b, sasa hao 3b wanaotakiwa kuangamizwa wanatoka wapi? Halafu unakuta watu wanajadili kabisa huu upuuzi.
 
Fungua bbcnews.com muda huu usome kisha uje na hizi hadithi zako outdated.
 
Arvs ni biashara zao. Hawapo kwa ajili ya kukusaidia

Kwani hizo ndege wanazotuuzia sio biashara zao? Silaha tunazonunua kwao sio biashara zao? Mbona hawatoi hizo ndege na silaha kama msaada ili tujue hizo ARV's sio msaada?
 
Ujinga mwingine hata ni kinyaa kuujadili. Waafrika tulioko kwenye bara hili tupo 1.2b, sasa hao 3b wanaotakiwa kuangamizwa wanatoka wapi? Halafu unakuta watu wanajadili kabisa huu upuuzi.
Ujinga zaidi ni kushindwa kujua huo sio mpango wa siku moja au mwaka mmoja

Wakati wewe unaiwaza Leo wao wanaiwaza 2100
Jiongeze
 
Kwani hizo ndege wanazotuuzia sio biashara zao? Silaha tunazonunua kwao sio biashara zao? Mbona hawatoi hizo ndege na silaha kama msaada ili tujue hizo ARV's sio msaada?
Kwahiyo ukitegemea mzungu au beberu atakufanyia uovu huku unaona?
 
Ujinga zaidi ni kushindwa kujua huo sio mpango wa siku moja au mwaka mmoja

Wakati wewe unaiwaza Leo wao wanaiwaza 2100
Jiongeze

Acheni ujinga, mtu anasema wazungu wana mpango wa kuangamiza waafrika 3b kisha unaleta post kama reference, nimekuambia hatufiki hata nusu ya hiyo 3b unaleta majibu ya kuokoteza eti wanawaza 2,100. Hiyo 2,100 utakuwepo au unaleta story za vijiwe vya wachovu?
 
Sio lazima uchwanjwe, ww kanywe kikombe cha babu. Acha wanaotaka kuchanjwa wachanjwe.
Yap.. Bora nikanywe kikombe kuliko hayo machanjo yenu. Hayo tunawaachia nyie
 
Washukuru wanaishi katikati ya waliochanjwa. Hakuna umaana kukataa kinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…