Kwahiyo ukitegemea mzungu au beberu atakufanyia uovu huku unaona?
Wahi maana unachelewa.Yap.. Bora nikanywe kikombe kuliko hayo machanjo yenu. Hayo tunawaachia nyie
Mgogoro uliopo kati ya uingereza,ulaya na kampuni inayotengeneza chanjo ya Astrazeneca sio usalama wa taifa sijui umeipata wapi hiyo,ningeomba uweke link ya chanzo chako cha hii habari.Ukifuatilia sana hii ishu mfano pale Uingereza selikali iliingia kwenye mgogoro na kampuni inayotengeneza hii chanjo kwa madai ni kwa usalama wa taifa.
Baadae umoja wa Ulaya wakasema mazungumzo yanafanyika.
Mpaka sasa hivi haieleweki ni usalama upi uliosababisha huo mgongano.
Kama kawaida JPM atakuja kueleweka baadae sana.
Subiri chanjo mkuu tindo ije mchanjweSioni hata unaongea nini zaidi ya story za viongozi wachovu wenye matatizo ya kisaikolojia ya post colonial era. Hizo story ndio zile za wachovu huko vijijini wanaoambiwa wazungu ni wanyonya damu.
SawaWahi maana unachelewa.
Wewe mwenyewe kumbe hujaelewa huo mgogoro ulivyoibuka. Subiri tukuletea chanzo chake sasaMgogoro uliopo kati ya uingereza,ulaya na kampuni inayotengeneza chanjo ya Astrazeneca sio usalama wa taifa sijui umeipata wapi hiyo,ningeomba uweke link ya chanzo chako cha hii habari.
Mgogoro umetokea sababu ni hii,hizi chanzo zinatengenezwa uingereza na umoja wa ulaya(kumbuka uingereza imejitoa umoja huu),uingereza ina makubaliano kuwa chanjo zinazotengenezwa kwao zitumike kwao,sasa mainland europe chanjo hazitoshi mahitaji yamekuwa mengi na jamaa washaripwa,ivyo wanataka zile zinazotengenezwa uk nao wapate,wa Uingereza wanasema hapana sio makubaliano yao.Lakini bado wanazungumza.
Tatizo lililipo kwa watu wengi ni kuwa mnafuata mkumbo bila kuelewa wala kufuatilia wataalamu wanasema nini.Mbaya zaid mkuu wa nchi anasimama bila kutoa muongozo wa kupambana na ugonjwa anakuja na kashfa ambazo hawezi kuzithibitisha.Hii inapelekea kila mtu kuja na yake anayookota kwenye internet.
Corona ni Pandemic,sio kama malaria au UTI,mapambano dhidi ya pandemic ni kwa ulimwengu mzima.anavyoongea kiongozi wa Tanzania ni kama anataka kuwaaminisha kuwa hii pandemic haiwahusu wao sana,kitu ambacho ni 'very irresponsible' kwa kiongozi wa nchi.Hili gonjwa linatapakaa na lipo kwa mda na hao mabeberu mnaowalaumu sio walioleta huu ugonjwa,ila wao ni watafutaji njia ya kujilinda.Common sense ni kujua utajilinda vp wakati dawa hamna sio kujimwambafai wakati hata kulisha watu wako huwezi.
Hv Africa na Europe wapi walikoathrika na korona zaid???waanzie kutoa chanjo ulaya kwanzaUnaweza kuwa na hoja ya msingi kwenye hili, ila nilitegemea busara na uchambuzi wa kisayansi zaidi kama Nchi kwenye kupinga hii chanjo, tupende tusipende hili gonjwa lipo na linaua, suala la kutulazimisha sisi huku Africa tuchanjwe haliwezi kuepukika maana muingiliano baina ya Nchi na Nchi ni mkubwa sana, haitakuwa na maana wao wachanjwe halafu sisi tubaki kama tulivyo.
Nikija kwenye hii hoja kwamba wanataka kutumaliza, hoja kama hii haiajaanza leo, ilianza kipindi gonjwa la ukimwi lilipochachamaa, lakini kwa busara zao hao wanaotaka kutumaliza, wametuletea ARVs ambazo kwa kiasi kikubwa zimesaidia kutubakisha hai, leo iweje kwenye COVID 19 ndio watumalize?
Nikija kwenya malaria, hawa jamaa wametulete vyandarua, wametoa billions of money kwa ajili ya kampeni za kutokomeza malaria, japo inafahamika vyanzo vya mazalia ya mbu ni uchafu, kwanini kama kweli tuna shaka na tiba zao tusionyeshe hata mifano ya sisi kujikinga ili wasituingilie?
Africa ilipofikia kwa sasa, hakuna namna tutaruka maamuzi ya hawa jamaa, watakachotaka tutafanya, tupende tusipende.
COVID 19 Is real, tuchukue tahadhari wakuu.
Yaani wewe unaiwazia Leo tuu. Waliotangulia wangekua na mawazo kama yako dunia ingekua ya hovyo sanaAcheni ujinga, mtu anasema wazungu wana mpango wa kuangamiza waafrika 3b kisha unaleta post kama reference, nimekuambia hatufiki hata nusu ya hiyo 3b unaleta majibu ya kuokoteza eti wanawaza 2,100. Hiyo 2,100 utakuwepo au unaleta story za vijiwe vya wachovu?
Mna mambo ya ajabu.. oh watapunguza waafrika.. sijui chanjo ina nini?Wanaopanga kupunguza waafrika billion3 ndio haohao watoa chanjo
View attachment 1688987
RAIS MSTAAFU MZEE JAKAYA "Za kuambiwa changanya na zako"
Kwamba huwa wanakwambia wataua sio?Hiyo ni plan endelevu sio kuua kwa siku moja
Mpaka hapa umri uliokuwa nao unategemea hao unaowapingwa kwenye matibabu yako wewe na familia yako. Ivi wangekuwa wameona hakuna umuhimu wa wewe na jamii yako unadhani tokea wanaligawa bara la afrika ungalikuwepo ?Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?
4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
View attachment 1688978
I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Hutoleta chanzo sababu,hii habari hujaisoma wewe mwenyewe ndo maana una tapatapa.ndio maana nasema wengi hampo well informed mnaona kitu sehemu mnakibeba kama kilivyo bila kukifuatilia wala kufikilia.Wewe mwenyewe kumbe hujaelewa huo mgogoro ulivyoibuka. Subiri tukuletea chanzo chake sasa
Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?
4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
View attachment 1688978
I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Siyo msimamo wa Taifa, ni msimamo binafsi. Mbona hatujashirikishwa kwenye kufikia huo uamuzi?Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo.
Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona.
Ila penye wa kuelewa na wakupinga hawakosekani, na kuna watanzania wengi haswa wenye itikadi tofauti za kisiasa wanampinga Rais tena wakitumia nguvu kubwa sana kuhamasisha watu wakachanjwe.
Mimi binafsi nina maswali machache kuhusu hiyo chanjo
1. Imetumika wapi kama majaribio na matokeo yake ni yapi hadi tuje kuchomwa huku kwetu? Tusisahau mwaka Jana walisema kabisa chanjo ingepatikana ilitakiwa ianzie kutumika Africa wakatoa sababu eti kuna uhaba wa health facilities kwa hiyo kukinga ni bora kuliko kutibu..... sasa wameona ngoma imegoma na waafrika hawajaathirika kwa kiasi kikubwa walivyotaka bado wanalazimisha, kulikoni?
2. Wakati UK wanareport wastani wa vifo 1000 kwa siku, USA wao wana wastani wa vifo 4000 kwa siku. Kwanini wasitoe hiyo chanjo kwenye hizi nchi zilizoathirika zaidi ili kuonyesha effectiveness ya chanjo na kutokomeza vifo kabla ya kuja Africa?
3.Wataalamu wa mfumo wa upumuaji wanasema hakuna chanjo inayoweza kupambana na virus vya mfumo wa upumuaji kwa 100%, wanasema kama kuna chanjo inaweza kuwa effective 50% 60% ila kikubwa wanachoshauri ni wanadamu kubadili mfumo wa maisha ikiwa ni pamoja na Kula, kunywa na kubadili tabia zinazoweza kuchochea maambukizi.
Je kwanini WHO hawatumii nguvu kubwa kutoa hii hamasa kwa dunia kama wanavyohamasisha chanjo?
4.Tumsikilize mtanzania mwenzetu hapa chini na tutafakari huu upendo mkubwa hivi kwa mataifa yaliyoendelea wa kutaka kutulinda ili tusife wakati wao wanakufa kila siku tena kwa maelfu unasababishwa na nini?
View attachment 1688978
I STAND WITH MY PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI[emoji106][emoji123]
Ni ujinga kuwalaumu hawa watu. Kwani hayo mapenzi ya jinsia moja unashikiwa au unafanya na mnafanya wenyewe? Nani kaja kukushikia bunduki kwamba ufanye, na hata ukishikiwa bunduki bado una uwezo wa kukataaWameanzia mbali sana hawa, tangu kwenye ukimwi, kutuletea mbegu za kisasa za mazao na kuua mbegu zetu za asili, kuhamasisha mapenzi na mahusiano ya jinsia moja ili tusizaliane....... ila bado Mungu anatupigania