Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

Nasimama na Waziri Mkuu wetuu Mjaliwa Kasimu Majaliwa

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Wanajamvi wenzangu

Nakusalimu sana na poleni nyote humo mlipo najua mko mkilitumikia Taifa letu.

Mim Kibori Nangai

Nitamtetea ,nitasimama na Majaliwa Kasimu Mh Waziri Mkuu wa Taifa letu.

Sihitaji kupangiwa ,

Hawa wanaharakiti Uchwara hatuwataki hata kidogo

Kuna huyu anayejiita Tito Magoti
Anapaswa kupingwa na kila mtanzani mwenye mapenzi mema na nchi yetu.

Nije kwenye ajali zinazotokea kila mara sioni kama ni chanzo sahihi kinachoweza kumpima MKM kiutendajii

Ajali hizi zinatokea bila kupangwa

Hivyo hawa wanaharakati uchwara

Tafadhali sana nikisikia tena hizo roomers zenu mtanitambua kwakwelii.

Viva MAJALIWA KASIMU MAJALIWA

Mtu mwaadilifu sio kama hawa wasambaza mitungi eti nishati safi akati huko Bumbuli hata maji ya kuunywa hakuna.

Tena hata hiyo Bumbuli haijui yupoyupo tuuu.
 
Majaliwa ni mwongo namba 1 wa taifa hili. Wakati mh Magufuli akipokuwa kwenye critical condition yaani kwenye "coma" alitudanganya bi mzima na anachapa kazi.
 
Majaliwa ni mwongo namba 1 wa taifa hili. Wakati mh Magufuli akipokuwa kwenye critical condition yaani kwenye "coma" alitudanganya bi mzima na anachapa kazi.
Kazi ya kiongozi sio kutengeneza taharuki.

JPM ni.kipenzi cha Watanzania amesema tuko na hali mbaya umewahi kuwaza mini kingetokea kwa nchi yetu,kwa mabeberu???
 
Back
Top Bottom