Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
Ok nitahitaji huduma yako ngoja kwanza nisake ramani ya 2 bedroom house kwa wana jf hapa
 
Back
Top Bottom