Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
Umenikumbusha wakati wa harakati za kielimu..nilikutana na jamaa huyo..daah sijui ilikua ni tatizo gani..yani akikaa darasani jamaa alikua hachukui hata robo saa..kasinzia usingizi mzito wa kukoroma kabisa.
Iwe mpo kwenye discussion group..muwe kwenye self study jamaa ni usingizi tu.
Ila nahisi ilikua ni tatizo sio kawaida.
Anyway jaribu kwenda hospital tofauti uulizie ujue shida nini..ikishindikana kabisa kupata jibu ingia upande wa pili wa kiroho zaidi.
#MaendeleoHayanaChama
TIBA: ^Learn to make friendship with your brain!^
Hiyo ni changamoto kubwa inayosababishwa na ku-abuse mzungumzo natural wa mfumo wa ubongo na kemikali zinazoratibu usingizi. Jitahidi kufanya mazoezi physical na kuchangamana na watu. Give your brain a break!
Normally, ubongo wake unakuwa unidirectional, meaning, hau-respond vizuri kwenye vitu vingine tofauti na vile ambavyo umeelekezwa (kwa kuburuzwa) kuvifanya kwa muda mrefu. The brain literally dies out when focused on seemingly unfamiliar activity.
Simply put, the brain has been constantly abused by being programmed to function by coercion, which means it has not been allowed (enhanced, nurtured) to seek for its own creativity.
Watu wanaokariri sana mambo (bila kuzingatia mantiki husika), wanaathiriwa sana na tatizo hili.
[emoji28]
Fanya detoxification kwa kula matunda tu -asubuhi, mchana, jioni kwa angalau siku 10.nikipanda kwa gari lazima nilale tena usingizi mkal hata kama n daladala
Hata nilale saa2 kuamka n saa4 au saa4:30
Tatizo n kubwa nilienda hospital wakasema labda uchovu
Natibuje tatzo la hivi?
Fanya detoxification kwa kula matunda tu -asubuhi, mchana, jioni kwa angalau siku 10.
Tumia mchanganyiko wa matango, embe, nyanya. Ndizi mbivu, karoti
Baada ya siku kumi si atakuwa kakonda?Fanya detoxification kwa kula matunda tu -asubuhi, mchana, jioni kwa angalau siku 10.
Tumia mchanganyiko wa matango, embe, nyanya. Ndizi mbivu, karoti
Mkuu una uzito gani? Zingatia vyakula unavyokula ukiweza punguza matumizi ya sukari na wanga,kula Sana protin na matunda kwa wingi.
Wakati Niko shule nilikua na hili tatizo nilikua nasinzia kupita kiasi Hadi nikawa nachukia kuingia class maana nikiingia tu nalala kabisaa sio mchana asubuh Wala usiku, Ila nadhani ulikua ulozi nilipona baada ya kuhitimu.
Hakikisha unapata maji ya kutosha na muda wa kupumzika uwepo. Ukiweza piga zoezi kidogo, Hali ikizidi muone daktari Tena na Tena.
Basi zingatia msosi maana sioni Kama huo Ni uzito mkubwa Sana kwakokilo 72
Kama atakuwa mfupi zitakuwa na tatizo MkuuBasi zingatia msosi maana sioni Kama huo Ni uzito mkubwa Sana kwako
Hahaha mkuu ilibidi nifanye prediction kwamba wanaume wote Ni warefu Sasa ndo nakumbuka sahii kuwa na wafupi wapo.Kama atakuwa mfupi zitakuwa na tatizo Mkuu
Umepima uzito mkuu usije ukawa unaongezeka manke haya mambo yanashabihianann unacheka
Umepima uzito mkuu usije ukawa unaongezeka manke haya mambo yanashabihiana
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Kulala Sana na uzito kuongezek a Kwa kasi vinaenda sambamba mkuu uliza Profeshino wakufafanulieuzito unaleta usingizi sina uzito mkumbwa ukilinganisha na wengine wala siyo mnene wa kiivo kuweza kuwa notificed