Nasinzia kama Bundi nifanyeje kutibu tatizo

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Nikipanda kwa gari lazima nilale tena usingizi mkali hata kama ni daladala

Hata nilale saa2 kuamka n saa4 au saa4:30
Tatizo n kubwa nilienda hospital wakasema labda uchovu

Natibuje tatzo la hivi?
 
Umenikumbusha wakati wa harakati za kielimu..nilikutana na jamaa huyo..daah sijui ilikua ni tatizo gani..yani akikaa darasani jamaa alikua hachukui hata robo saa..kasinzia usingizi mzito wa kukoroma kabisa.

Iwe mpo kwenye discussion group..muwe kwenye self study jamaa ni usingizi tu.

Ila nahisi ilikua ni tatizo sio kawaida.

Anyway jaribu kwenda hospital tofauti uulizie ujue shida nini..ikishindikana kabisa kupata jibu ingia upande wa pili wa kiroho zaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
TIBA: ^Learn to make friendship with your brain!^

Hiyo ni changamoto kubwa inayosababishwa na ku-abuse mzungumzo natural wa mfumo wa ubongo na kemikali zinazoratibu usingizi. Jitahidi kufanya mazoezi physical na kuchangamana na watu. Give your brain a break!

Normally, ubongo wake unakuwa unidirectional, meaning, hau-respond vizuri kwenye vitu vingine tofauti na vile ambavyo umeelekezwa (kwa kuburuzwa) kuvifanya kwa muda mrefu. The brain literally dies out when focused on seemingly unfamiliar activity.

Simply put, the brain has been constantly abused by being programmed to function by coercion, which means it has not been allowed (enhanced, nurtured) to seek for its own creativity.

Watu wanaokariri sana mambo (bila kuzingatia mantiki husika), wanaathiriwa sana na tatizo hili.
 
saa izi kapona?
 
umeongea vitu vizito!!
labda ungenifafanulia vizuri n vitu gan nafanya amabavyo s kaz naturally ya brain vinavosababisha ilo tatzo
 
nikipanda kwa gari lazima nilale tena usingizi mkal hata kama n daladala

Hata nilale saa2 kuamka n saa4 au saa4:30
Tatizo n kubwa nilienda hospital wakasema labda uchovu

Natibuje tatzo la hivi?
Fanya detoxification kwa kula matunda tu -asubuhi, mchana, jioni kwa angalau siku 10.

Tumia mchanganyiko wa matango, embe, nyanya. Ndizi mbivu, karoti
 
mmh njaa c itaniua au kuna mbinu ya kuzuia njaa
 
Mkuu una uzito gani? Zingatia vyakula unavyokula ukiweza punguza matumizi ya sukari na wanga,kula Sana protin na matunda kwa wingi.

Wakati Niko shule nilikua na hili tatizo nilikua nasinzia kupita kiasi Hadi nikawa nachukia kuingia class maana nikiingia tu nalala kabisaa sio mchana asubuh Wala usiku, Ila nadhani ulikua ulozi nilipona baada ya kuhitimu.

Hakikisha unapata maji ya kutosha na muda wa kupumzika uwepo. Ukiweza piga zoezi kidogo, Hali ikizidi muone daktari Tena na Tena.
 
kilo 72
 
Back
Top Bottom