Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania.
Pamoja na kuongoza TFF bado Karia anawajibika kutokusababisha manung'uniko na kuwagawa Watanzania kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa adui zake.
Serikali imwangalie Karia kwa jicho la upekee kama mhalifu mtarajiwa.