Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Huwezi fahamu pengine yupo nyuma yakeMchengerwa Yuko busy na MITALA
Hata kama watakukejeli, au kukutukana! Ila kuna ukweli ndani yake.Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania.
Pamoja na kuongoza TFF bado Karia anawajibika kutokusababisha manung'uniko na kuwagawa Watanzania kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa adui zake.
Serikali I'm imwangalie Karia kwa jicho la upekee kama mhalifu mtarajiwa.
Siyo kila mlalamikaji ni ManaraManara kazi zipo nyingi, sio lazima usemaji wa club
Maandiko yako mengi yamejaa chuki, hasira, wivu, kijicho n.k kuhusu watu fulani. Hali hii hupelekea matatizo ya afya ya akili.Karia kwa kauli na matendo hakika ni mtu wa kuchungwa mno kisiasa kama kimelea kinachokaribia kuleta sintofahamu kubwa baina ya wananchi wa Tanzania.
Pamoja na kuongoza TFF bado Karia anawajibika kutokusababisha manung'uniko na kuwagawa Watanzania kwa sababu ya chuki zake binafsi kwa adui zake.
Serikali imwangalie Karia kwa jicho la upekee kama mhalifu mtarajiwa.
Tabia za Yanga zinaifanya serikali ya CCM ichukiwe na hata haya madai ya kutaka katiba mpya ni hao Yanga wanaoyachochea kila kukicha, hulka za kiswahili za miaka yote zinawasumbua.Yanga mbona kutwa kucha ni kulalamika tuu...
Hakuna taasisi isiyoingiliwa na Serikali ya nchi husika,TFF haiingiliwi
nyie ndio mnaoifanya nchi hii ionekane ya matahaira ,Manara kazi zipo nyingi, sio lazima usemaji wa club